Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Naunga mkono hoja.(Mbarawa, Feleshi) , hawa wanaondoka, tumeshafahamishwa, huu mwezi haupiti.
Mimi naongelea hivyo visiki viwili, PM na Spika, nao waunganishwe tu!
Hawa vigogo hawana faida kwa sasa.