Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Tatizo ni lugha tu. Nimekwambia kiswahili kina upungufu wa baadhi ya maneno.Wewe kasome ripoti ya Sekretariet ya bunge.., halafu kajibizane nao. Kwamba serikali ilikuwa inapinga nini kwamba si mkataba bali ni makubaliano?
Maana ni ile ile ya mkataba uliopita bungeni wa IGA. Unaweza pia kuliita azimio la makubaliano ya kufanya biashara pamoja kati ya Dubai na Tanzania.