Rais Samia nakushauri watose sasa Spika (Tulia) na PM (Majaliwa), sakata la bandari limekumaliza kisiasa!

Mnamsingizia Feleshi Bure tu.
Unataka kutuambia Feleshi ndio alie watuma hao Wakuu wajivue ufahamu?
Dunia hii wenye akili wakiona jambo haliko sawa huwa wanaachia ngazi, hivyo kama hajaachia aachishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…