Rais Samia, nani kakushauri kununua Treni zenye muundo mbovu namna hii?

Mkuu hapo hapana! Nakataa katakata. Hata kama design zinapisha au kutofautiana, likini sio kwenye hii. Treni gani hii kwenye karne ya 21? Masihala tuyaache huko vijijini.
Unaweza kuta mama alisema tu shugulikien manunuzi nakuamin wew kadogosa na team yako, basi mama akaendelea kupiga usingizi ,asikuambie magu alikuwa anafuatilia sana haya makitu nakumbuka hata tender ya SGR aliifuta maana kuna watu walikuwa wameshaakula 10% , bila shaka hata hii kuna watu wamekula 10% pia
 
Safi Sana. Nimeona mchango wako Kwa huo Uzi.
Ulichoelezea kwamba flyover iwe ni more or less the same na original plan ya Ile flyover ya hapo ubungo. So big up for your opinion.
However Mimi nimesema kua plan ilikuja kubadilishwa wakati wa ujenzi na hakuna aliemhoji mwendazake. Lakini sasa hivi SASA mama wa watu mnamsumbuaaaaa Kwa vitu trivial.
 
Inshu kubwa nini?
Muonekano au horsepower ngapi na speed kph ngapi???
Wajuvi njoeni mtueleweshe naona mleta uzi kapatwa muhaho bure.
 
Personal hatred, mlaumu mtu on evidence.

Sio kila kitu chuki tu; hamna jema nyie watu la kushukuru.
 
Hata mimi nashangaa inakuwaje machina hakushinda Kwenye hizi tenda maana mara nyingi huwa anakuwa ana bid kwa very lowest price with the stated specification ,lazima kuna rushwa hapa sio bure
 
Kama nchi tumeamua kugharamikia SGR tutashindwaje Kuwa na hizo bullet Kama nchi kwani zinauzwa triillo kwani
Hiyo kampuni ya Hundai kwa utengenezaji wa treni za umeme duniani wala haifahamiki. Ina modeli mbili tu kwa passenger electric trains na moja kwa cargo kama zinavyoonekana hapa chini:


Yaani afadhali tungalichagua hiyo model yao ya kwanza.




Badala yake tukachagua hii ya pili ambayo ilikuwa scrap jalalani:



Mbona kwenye ununuzi wa ndege tulienda kwenye makampuni yanayojulikana duniani ya Boeing na tuka negotiate bei na kununua Dreamliners mbili na Boeing nne. Hakuna cha lowest competative tender wala mtoto wake kwani utaratibu huo ni wa kutoa mwanya wa rushwa (10% or more) na kuongeza gharama za middle men. Una hela zako unaenda mwenyewe kwenye kiwanda kinachojulikana duniani, unachagua kitu unachopenda cha uhakika, mna negotiate bei, unamlipa cash na kuondoka na kitu chako.
 
Kila kitu Magu alikuwa kamaliza. Soma hapa: South Korean firm to supply SGR trains to Tanzania Samia hahusiki kabisa!
 
Umenikumbusha Bugatti ya Hajji Manara wa mikia anavyojiita wakati hana
 
Hata mimi nashangaa inakuwaje machina hakushinda Kwenye hizi tenda maana mara nyingi huwa anakuwa ana bid kwa very lowest price with the stated specification ,lazima kuna rushwa hapa sio bure
Hizi tender za competative bidding huwa ni rushwa tupu. Ndege zetu za Dreamliners na zile Airbus tulienda wenyewe kwenye hivyo viwanda vinavyojulikana duniani kama vinara wa kutengeneza ndege. Tukachagua specifications tunazotaka, tuka negotiate bei, tukawalipa cash na kupata discount ya 10%. Hakuna cha middle man wala cha kushindanisha tender. Huwezi ukavishindanisha viwanda. Unachagua kiwanda madhubuti kinachotengeneza bidhaa bora zinazoaminika duniani unachoweza kumudu bei zake.

Hawa jamaa walipaswa kufanya kama tulivyofanya kwenye ndege. Wangalienda China kwenye kiwanda kikubwa kinacho ongoza duniani kwa utengenezaji wa electric trains na kuchagua kati ya zile treni bora duniani kwa sasa. Korea kusini wanachokiweza ni hiyo simu ya Smsung tu. Hundai hata magari yao hayana soko au ubora duniani!
 
Bora wangepewa SIDO hiyo tender
 
Pesa yenu Mtanzania
 
Baada ya kufanya utafiti wa kina kuhusu ile mitungi ya chang'aa sasa naweza kuja kuchangia zaidi.
Nadhani kwenye hiyo picha unaoneka.

Kwanza nataka kusema hii kampuni ya kikorea iko vizuri, wanauzoefu wa kutosha kwenye haya mambo. Kazi walizofanya nyingi zinaonekana kwenye tovuti yao.

Sasa kwenye ile mitungi ya chang'aa nahisi kuna iwezekano mkubwa sana ikaja huku kwetu. Kwe sababu zifuatazo
1: ile mitungi Korail walidesign mahususi kwa ajili ya Turkish Railways na watu wanotujemgea hii reli ni hao hao waturuki.

2: wakorea waliwapa leseni waturuki wakitengeneze kwao. Inamaanisha kwamba ni treni za kikorea ila zinatengenizwa uturuki. Na kutokana na hali ya sasa kwa mturuki ndo mpango mzima kwenye huu mradi kuna uwezekano mkubwa wakatubambika huu uchafu.

Kwa tamati, naona kama kuna kila dalili kwamba hizo ndo zitakuwa treni zetu za "kisasa" na jinsi nchi yetu ilivyo, hakuna la kufanya kabisa.

Ila tusife moyo. Tuendelee kupiga kelele humu ndani labda mama atatusikia au haya makelele yakamgusa kadogosa na akajikamua tukapata treni zingine. Maana kitreni nzuri hao wakorea wanazo kibao. Nisisi tu wenyewe kukomaa.
 
PESA YAKO. Ni kama magari, unataka ya aina gani? Hii ndiyo pesa yetu. China wana nzuri sana kuliko hii ya Hyundai Rotem. Ni sawa na KIA ya tani moja. Siyo Hyundai sonata
 

hahahahahahahahahahahahahahahahaha.........

mlikua mnakubali kudanyanywa kua mnaletewa treni za umeme.

hahahahahahahahahahahahaha.......
kwa umeme upi wa kuendeshea treni!?
 
Lakin CAG akikagua huwa anasema mabilioni yamepotea kwa sababu taratibu za manunuzi hazikufuatwa na huku mtandao tunashangilia Kuwa serika imeiba hela kwa Kuwa hamna competitive tender
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…