Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Hii comment iwekwe kwenye kuta za ufipaDesign unaiangalia ukiwa nje tu, ukishaingia ndani hutakumbuka tena hiyo design, muhimu kufika uendako, kama ch... tu, ukishaivaa hata iwe nzuri vipi huwezi jidai nayo, zaidi ya furaha ya kisaikolojia tu.
Asante sana sina cha kuongeza. Mimi pia niliishi miaka 22 Duesseldorf NRW. Nilisoma Duesseldorf. Nimeishi Hamburg miaka miwili, Munich miaka miwili, Berlini miaka minne, Görlitz miaka miwili, Bremen miezi sita, Stuttgart miaka miwili na sasa Niko Hessen. Mji ambao nimeupenda ni Berlin. Yaani nilivyoambiwa niondoke Berlin, nililia sana. Nimeipenda system yao ya usafiri wa umma (Öffentliche Verkehrsmittel).Mahali inapofanyiwa majaribio ndipo ninapoishi mimi NRW kwenda münchen ambako nimeishi miaka 20 pia. Nadhani target ya hii ICE 5 hadi 2022 iwe imekidhi kiwango cha 330km/h kwa hivyo utaona tofauti ya kuwa nayo bado pia kuna kuwa na muda wa kuifanyia majaribio kama inakidhi kile haswa kinachohitajika. Ndiyo maana ninaona mjadala huu una umuhimu mno kwa maendeleo ya hiyo SGR yetu
Utazoea tu. Wenzetu nao walikuwa kama sisi. Wakabadilika na wakati. Isikupe hofu. Kwanza katika High-speed Train huta kumbuka kula kitu. Utakuwa unafurahia entertaiment ya kweye train.Hivi jamani sisi tunaopenda kununua vyakula kama mayai, hafu keki, mahindi ya kuchomwa/kuchemshwa safarini kama pale Chalinze, kwenye hayo madude tutayapatia wapi? Yani mimi kupanda chombo bila ya kununua hizo bidhaa kwa dirishani naona kama sijasafiri.
Umeona sasa wewe ni jirani yangu muda si mrefu mimi nimehamia Hagen pembeni ya Dortmund. Hessen na hagen ni dakika kadhaa tu ndiyo maana ya kuwa kwenye jamii forumAsante sana sina cha kuongeza. Mimi pia niliishi miaka 22 Duesseldorf NRW. Nilisoma Duesseldorf. Nimeishi Hamburg miaka miwili, Munich miaka miwili, Berlini miaka minne, Görlitz miaka miwili, Bremen miezi sita, Stuttgart miaka miwili na sasa Niko Hessen. Mji ambao nimeupenda ni Berlin. Yaani nilivyoambiwa niondoke Berlin, nililia sana. Nimeipenda system yao ya usafiri wa umma (Öffentliche Verkehrsmittel).
Hivyo wewe unaiona hii treni ni babu kubwa hata kama speed yake ni 160 km/h? Mimi sasa nakuambia niamini ninacho kuambia. Hii kwa mwonekano tu najua ni treni ya qulity gani. Bila kumung´unya maneno. Hii sio treni ya kusafiri masafa marefu kama wa Europeans wanavyo fanya. Europe sio kama Amerika. Watu Europe wanajua maisha ya kusafiri brother. Vyombo vyao vya usafiri ni vizuri sana. Sio masihala bro.Hii ya Australia waliagiza 2019View attachment 1849120
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🙏Pesa ya beetle old model ununulie Mercedes new model?? Aisee inawezekana vipi?NA USIKUTE UNALALAMIKA TU,NA KODI UNAKWEPA(HAULIPI)
Yeaah! Tutakutana tu siku. Utakuwa kwenye party ya UTU Germany Mönchengladbach tarehe 31. mwezi huu?Umeona sasa wewe ni jirani yangu muda si mrefu mimi nimehamia Hagen pembeni ya Dortmund. Hessen na hagen ni dakika kadhaa tu ndiyo maana ya kuwa kwenye jamii forum
Magufuli asingenunua hii! Trust me. Miradi yote aliyosimamia Magufuli ilikuwa na kwalite alizozoea kusema "kama Ulaya"; hii siyo treni ya kwalite hiyo.
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.
Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?
Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?
Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.
That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?
Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?
Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?
Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.
Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!
Hyundai Rotem wins contract to deliver trains to Tanzania - Fuentitech
The 97 cars operate at a top speed of 160km / hr. Credit: HYUNDAI ROTEM COMPANY. South Korean-based company Hyundai Rotem has won a $ 295.65 million (335.4 billion won) contract from the Tanzania Railways Limited (TRC) to deliver eco-friendly rail vehicles. Under the contract, TRC will receive $...fuentitech.com
Siyo kweli; ukisoma article hiyo, inaonyesha wamepata contract hiyo siku sita tu zilizopita. Magufuli alikuwa na tabia ya kutangaza makampuni yaliyopewa contract za miradi mikubwa: Boeing Dreamliner, Airbus, Ujenzi wa madaraja mbali mbali hasa yale yenye high visibility kama Tanzanite na flyovers zote za Dar es Salaam. Tulikuwa hatuambiwi terms za contract, lakini tulikuwa na tunaambiwa nani kashinda tenda. Hii mbona imekuja kimya kimya tu?Hizo zilishanunuliwa na awamu ya 5,mama kafanyiwa delivery tu..sema kweli halina mvuto,likekaa kaa tu kama kontena la Maersk[emoji23][emoji23]
Naanza kuwashughulikia wapuuzi kama wewe kwanza.Kazitumie kwanza kuwaondoa ujinga ndugu zako kule kijijini
Mkuu hiyo train aina shida, isitoshe nchi ndio kwanza inaanza kutumia hiyo technology.Hatujapinga High-speed train, bali tunataka vitu vya vinavyo kwenda na wakati. Hili dude la kisoviet hatulitaki.
Mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake., Izi Treni sio mbaya nchi yenu bado ni maskini, mambo ya kisasa sijui ulaya mtayaweza wapi?
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.
Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?
Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?
Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.
That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?
Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?
Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?
Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.
Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!
Hyundai Rotem wins contract to deliver trains to Tanzania - Fuentitech
The 97 cars operate at a top speed of 160km / hr. Credit: HYUNDAI ROTEM COMPANY. South Korean-based company Hyundai Rotem has won a $ 295.65 million (335.4 billion won) contract from the Tanzania Railways Limited (TRC) to deliver eco-friendly rail vehicles. Under the contract, TRC will receive $...fuentitech.com
Garama za miundombinu ndio kubwa , tumeweza tutashindwaje kununua gari la kisasa
Hawajajua hata inayokuja ni ipi washaanza kutoa povu. Ikifika je?Mbona hazina ubaya wowote...
Unataka kama za Tokyo zile bullet train... Zile ni gharama sana...
Ni kweli mkuu na asante kwa kunikumbusha hilo. Hata mimi nashangaa. Imekuwa kimya imya mno, ili waweze kutuchapa.Siyo kweli; ukisoma article hiyo, inaonyesha wamepata contract hiyo siku sita tu zilizopita. Magufuli alikuwa na tabia ya kutangaza makampuni yaliyopewa contract za miradi mikubwa: Boeing Dreamliner, Airbus, Ujenzi wa madaraja mbali mbali hasa yale yenye high visibility kama Tanzanite na flyovers zote za Dar es Salaam. Tulikuwa hatuambiwi terms za contract, lakini tulikuwa na tunaambiwa nani kashinda tenda. Hii mbona imekuja kimya kimya tu?
Mkuu hata treni wataka uchague ipi inunuliwe?
Kusema kweli leo nimesikitika sana kuona aina ya muundo wa treni ambayo serikali yetu imeweka mkataba na kampuni ya Hyundai-Rotem ni treni zenye mwonekano wa ki-Hitler!
Mimi nilifikiri tunaondokana na treni zenye muundo wa kutisha za enzi za George and Robert Stephenson na kuingia kwenye era ya treni za umeme zenye kuburudisha macho kwa design kama za wenzetu wajerumani.
Mama samia Suluhu Hassan Rais wetu nani kakupa ushauri wa kutua saini ya makubaliano ya kununua treni za aina hiyo? Mimi sitaki kuamini na sikutegema kama aina ya treni ambazo zitatereza kwenye reli yetu zingekuwa na mwonekano huo kwenye hiyo picha ya taarifa tuliyoipata kwenye Website ya hiyo kampuni iliyo shinda zabuni ya Hyndai-Rotem. Mbona inatisha?
Nitashangaa sana kama upande mmoja tumejitahidi kutengeneza Stations nzuri, za kisasa na zenye mwonekano mzuri na wa kupendeza na kupata system yenye technology mpya, alafu leo tunaambiwa kuwa tunapata treni zenye vichwa na mabehewa ya enzi za Hitler? Ama kweli Tanzania tunawatu ambao kweli hawajui kwenda na na wakati. Watu wasiokuwa na test ya biashara. Mnategemea nani mtampata kwenye kwenye hayo ma-wreck yenu?
Mkurugenzi Kadogosa hii sio treni ambazo models zake mtangazaji wako Beni Mwanantala amekuwa akituonyesha kwenye maonyesho uwanja wa sabasaba kurasini.
That's awful! Are you really serious with this mkurugenzi?
Sasa naomba niambie kuna tofauti gani na SGR ya kenya kimwonekano? Inamaana mnatufanya sisi ni masokwe mpaka mnatuletea matakataka kama haya ambayo hakuna mtu anaye yataka?
Waziri wa Ujenzi na uchukuzi hivi ni sahihi kweli sisi watanzania mtusweke kwenye ma-wagon yanayo onekana kama treni za kusafirisha mizigo na wanyama kama haya ambayo hata hayavutii? Mmepewa bure nini? Ama ndiyo tuseme mmedhamiria nini kutuletea? Tuambieni?
Nilipokuwa kwenye jengo lenu la maonyesho ya sabasaba mwaka jana na kujionea mwenyewe models za treni na mabehewa ambayo Mr. Mwanantala alitupa maelezo yake, aisee, nilifarijika sana sana moyoni na niliwaombea baraka nyingi kwa muumba wetu za kuwaongoza vizuri katika shughuli zenu za kuwatumikia Watanzania.
Sikutegemea kabisa kuwa leo ingekuwa siku ya majonzi makubwa kwa kuona au kusikia mashine zitakazo tereza kwenye reli yetu ya kisasa ya SGR kumbe ni madudu ambayo yamepitwa na wakati na yasiyo na mvuto hata lidogo. ES IST SCHRECKLICH!
Hyundai Rotem wins contract to deliver trains to Tanzania - Fuentitech
The 97 cars operate at a top speed of 160km / hr. Credit: HYUNDAI ROTEM COMPANY. South Korean-based company Hyundai Rotem has won a $ 295.65 million (335.4 billion won) contract from the Tanzania Railways Limited (TRC) to deliver eco-friendly rail vehicles. Under the contract, TRC will receive $...fuentitech.com
Sure mkuu. Alizoea kusema Tanzania itakuwa kama Ulaya. Jamaa alikuwa na Vision kubwa sana. Yaani alikwisha ona wapi Tanzania inakwenda na kitu gani kifanyike.Magufuli asingenunua hii! Trust me. Miradi yote aliyosimamia Magufuli ilikuwa na kwalite alizozoea kusema "kama Ulaya"; hii siyo treni ya kwalite hiyo.
Inawezekana ukawa na umasikini wa akili mkuu. Hilo nalo ni tatizo kubwa sana katika maisha usipo litambua. Wewe unaonyesha kuwa umesha ji-disqualify mwenyewe katika maisha ya kuitwa binadam kwa kujiona kuwa wewe ni sawa na sokwe, kiumbe kisicho stahili kuwa na maendeleo ya vitu.Mbuzi hula kutokana na urefu wa kamba yake., Izi Treni sio mbaya nchi yenu bado ni maskini, mambo ya kisasa sijui ulaya mtayaweza wapi?
Kwasababu hujui kutofautisha vitu vizuri na confortable one na vile vibaya ambavyo sio conortable one! Hujui maana ya quality. Nafikiri hii maana ya quality bado haijakuingia kwenye akili yako kuwa ni kitu gani?Hawajajua hata inayokuja ni ipi washaanza kutoa povu. Ikifika je?
NitakuwepoYeaah! Tutakutana tu siku. Utakuwa kwenye party ya UTU Germany Mönchengladbach tarehe 31. mwezi huu?
ccm ni ileile hawajawahi kuwa na mapenzi mema na watanzania,nguvu yao kubwa wanawekeza kwenye kutokomeza wapinzani, japo kila aliyejaribu kupambana na upinzani alitangulia yeye