2025 tutwatia hata visu vya mataqo subirini wasengelema nyie.Kwa taratibu za Katiba iliyopo ambayo imeivusha Nchi Toka 1961 Hadi Sasa.
Ni hivi kama mliyegemea Kulazimisha Katiba Mpya ya Kisiasa imewakata,kilochobakia toeni mapovu weeee kama ya DP World harafu mtaacha wenyewe baada ya watu kuwapuuza
Hakuna aliye kubali ndio maana hadi sasa mwangwi wa katiba bado unavuma wananchi ndio wenye nchi ikiwa ni pamoja na wwAcha wivu mbona jpm alisema katiba haileti Mvua n ukakubali?
PumbafuuSasa kama yupo Kwa mujibu wa katiba sasa mnataka katiba ya kazi gani wakati iliyopo inatosha?
Kwahiyo hii Katiba ya 77 haina maana? Dah kweli tumevamiwa na wavivu wa ZanzibarWewe nae tuwachie porojo zisizo na mpango, UK katiba yao iko wapi? Israel katiba yao iko wapi?
Hizo nchi mbili nilizokuwekea hazina maendeleo?
Nyie wasukuma mnajulikana mila zenu, kuwadunisha wanawake, hiyo ilikuwa babu zenu, siyo karne hii.
Ni kweli na Rais yupo sahihi kabisa kwamba watanzania wengi sana wanahitaji Elimu ya katiba .Yeye hiyo staha na adabu anayo? Kusema Watanzania hawajui katiba huoni ni kukosa adabu?
Wangekuwa hawajui katiba maana yake hata yeye angepingwa asiwe Rais, lakini tunajuwa katiba inasema nini baada ya Rais Magufuli kufa.
Wakati huo mnawatia hivyo visu watakuwa wanawakenulia meno au? Bwege wewe2025 tutwatia hata visu vya mataqo subirini wasengelema nyie.
Kagombee wewe ufe ili tuchague mwingine ,.huna akiliRaisi akifa madarakani mara mia kurudia uchaguzi kuliko hasara
Matusi ni kipimo Cha mtu mjingaKagombee wewe ufe ili tuchague mwingine ,.huna akili
Kwenda zako huko mjinga wewe .Huna huo ubavu na wala huwezi kufanya chochote kile2025 tutwatia hata visu vya mataqo subirini wasengelema nyie.
Wewe mpumbavu tunakujua toka ukiwa a-level pale songea ulikuwa una vinasaba vya kishoqer kwahiyo kuwa chawa wa wajinga hujaanza leo.Kwenda zako huko mjinga wewe .Huna huo ubavu na wala huwezi kufanya chochote kile
NIlisoma ile aisee mi mwenyewe na f4 yangu siandiki kile kiingereza. Grammatical fouls kama zote.Sasa watu wakiandika unwell mnasema wanawatukana!! Wenye kujua kingereza someni hayo aliyoandika Ridhwani Kikwete ambae ni naibu Waziri katika serikali ya Samia ; na next time atapewa wizara kamili! Hicho kingereza ni cha mtu mwenye shahada ya sheria kweli? Ni aibu kwa waliomteua kwenye huo wadhifa kwani inaonesha wazi kuwa aliteuliwa sio kwa sababu ya weledi wake bali kwa sababu ya jina la baba yake!! Shame.
Huyo mama ni mweupe kichwani kuliko hata Gigy money!!
Kabla sijausoma naukopi kwanza, Mods wa siku hizi ni wa Kichina
ππππ..Siyo tu hana uwezo bali pia hana busara!
Tutaanza na matahira nyie chawa.Wakati huo mnawatia hivyo visu watakuwa wanawakenulia meno au? Bwege wewe
Katiba hiyo hiyo mpya ni lazima pia itamke wazi namna ya kumwajibisha mtu asiyejua maana ya katiba ni nini.Kauli ya rais kuiita katiba " ni kitabu tu" inadhihirisha viapo wanavyoapa waingiapo madarakani si ya dhati toka moyoni. Rais anatakiwa kuilinda katiba kama asemavyo wakati wa kiapo.
Watanzania upo ulazima wa kuhakikisha kuwa katiba ijayo inatuwezesha kumfungulia mashitaka rais kwa kukiuka katiba ili katiba iheshimiwe na wananchi wote bila kujali vyeo.
Hakika urais mtamu bwasheeDaftari siyo Kitabu
Wewe chawa huoni kuwa Bibi anatumia vyombo vya ulinzi kukanadamiza watu wasifanye maandamano!! Halali usingizi anaogopa watu wakiandamana ndio mwisho wake watamfurusha Ikulu akimbilie Dubai!!!Sisi watanzania tumeridhishwa na kazi kubwa inayofanywa na Rais samia na serikali yake na ndio maana hakuna ambako umeona watanzania wakiandamana kuhitaji habari za katiba mpya .