Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

Hata hizo sijui phd za heshima muwe mnaangalia na watu wa kuwapa. Totally disgrace
 
Maendeleo hayako defined na Katiba Wala vitabu vya dini
 
expand...
Amesahau aliyotamka mbele ya Mungu wake.... loh! Nilidhani tumepata Raisi mwenye hofu ya Mungu, kumbe tuna Raisi mwenye hofu ya wanaadamu, swala.5, kesha sahau aliahidi nini?!!! Basi kwasababu aliapa yeye mwenyewe, leo anaongea kama si yeye, amejilaani yeye mwenyewe na Mungu atamshusha kwa kiburi chake.
 
Nchi makini alikuwa anatoka kazini asubuhi
 
Anajua kusoma na kuandika kwa sababu ya vitabu,
anajiona ana elimu sababu ni vitabu,
amekuwa mwanasiasa kwa sababu ya kitabu,amekuwa raisi wa kitabu kwa sababu ya kitabu
Alishika vitabu kuapa kukilinda kitabu,
watanzania walimridhia yeye kuwa raisi kwa sababu ya kitabu,
JWTZ walisimamia maandiko kwenye kitabu Ili yeye awe raisi, amani hii ya nchi iliyopo ni kwa sababu ya kitabu,
polisi wanakulinda kwa sababu ya kitabu,
tunakutambua kama raisi kwa sababu ya kitabu,
ni nchi kwa mipaka yetu iliyoainishwa kwenye kitabu,
Leo anasema watanzania hawakijui kitabu,wafundishwe kitabu miaka mitatu, Tena Hana sababu ya kukilinda na kukiheshimu kitabu.........

Ndugu zangu watanzania hili ni tusi kubwa sana.
Mama Samia! Mama samia! Mama samia!.

TUNAKITAKA KITABU kwani kitabu ni maendeleo.

ACHA kupanic
 
Maza ana wasiwasi 2025 inamponyoka taratibu. Machawa tu ndiyo wanamuelewa.
 
Nawe hujanielewa! Hakuna Rais wa Tanzania atakubali kugusia vitu viwili ambavyo ni 1. Katiba Mpya au 2. Muungano. Hiyo kitu ndiyo nilikuwa nakueleza.

Nilingojea kuona njia ya Samia ya kutokea naona ameamua sasa kuiweka hadharani.
Nimekuelewa mkuu,

Tutawalazimisha tu, watake wasitake... alikubali mkoloni mzungu, watakuwa hawa weusi wenzetu... wengine wengi wao tumewazidi hata marks za darasani... no way.
 
Ndo ukweli wenyewe huo…..
Kuongoza nchi hakuhitaji high IQ, just an average IQ can do!. Nyerere alikuwa high IQ, Mwinyi, average IQ sasa angalia aliyoyafanya Nyerere compared to Mwinyi na sasa yuko wapi?.

Tuje kwa Mkapa high IQ, JK average IQ, angalia aliyoyafanya Mkapa compared to JK na sasa yuko wapi?.

Njoo kwa JPM high IQ, Samia average IQ, angalia aliyoyafanya JPM compared na anachofanya Samia, na sasa yuko wapi?.

Kumbe uongozi wa juu wa Tanzania sio kupokezana tuu kwa dini, Muislamu na Mkristo, ni mpaka kupokezana kwa IQ, high IQ and average IQ, hivyo anayefuata ni high IQ, hivyo tuvumilie tuu tuvute subra, 2025 sio mbali, Mama atapumzika inaingia akili kubwa!.

Pia kuna tatizo la high IQ na longevity, hao high IQ wote tayari... average IQ wanaendea kudunda! Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

P
 
Nimekuelewa mkuu,

Tutawalazimisha tu, watake wasitake... alikubali mkoloni mzungu, watakuwa hawa weusi wenzetu... wengine wengi wao tumewazidi hata marks za darasani... no way.
Hiyo ndiyo njia ya pekee kupata katiba Mpya! Vyama vya upinzani vinakosea padogo sana! Kuna upenyo wa kutokea ila kwa ubinafsi walio nao kama Tundu Lissu hawawezi kuutumia. Uchochoro ni mgombea binafsi. Mgombea binafsi akiruhusiwa hata Ngazi ya Ubunge itaiweaken CCM kiasi mageuzi yataanzia katika Bunge.

Ni mjinga asiye na akili anayefikiria Rais aliyepo madarakani asaini sheria ambayo matokeo ya urais yapingwe mahakamani. Akubali tume huru ya uchaguzi. Njia ni kumzunguka tu
 
Angekubali 2025 apumzike, hapo sawa. Ila …
 
Kuchanganyikiwa
 
Mmeipenda wenyewe,jiandaeni Kwa tozo zaidi
 
Rais kashasahau nguvu ya kitu kinaitwa katiba eenh!!! Na pia kasahau kwamba ni katiba hiyo hiyo ndio ilimfikisha hapo alipo sasa...
 

hizo IQ unazipimaje maana Mkapa aliuza dhahabu ya nchi hii kwa mrahaba wa 4%. Hiyo IQ unaionaje hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…