Rais Samia naomba umwambie Kamala Harris, Tanzania ushoga ni 'NO'

Tunywe mara ngapi mkuu mbona tayari.

Waache kutumia iphone kwanza ambazo CEO wake is openly gay.
Wazungu ni intelligent sana , wanajua wanachofanya , wameshasoma mindset zetu, kwamba ukitujaza ujinga tutaspend decades kuujadili , ni kama vile mbwa unavyompa fupa alilambe , hapati ladha na atapoteza muda wake wakati wewe unafanya yako.

Namamini hii kasi ya wao kuutangaza na kuukubali ushoga huko kwao , ni njia ya kutu provoke , tutatumia.muda na nguvu nyingi kupimga na kujadili huku wao wakisonga mbele zaidi ,

Tim cook , ni shoga lakini apple na Nike wanategemea kichwa chake kwa maendeleo ya kampuni
 
Miafrika inatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi haifanyi.

Nguvu inayotumika kupinga ushoga, swala ambalo ni almost negligible, ni sawa na kuua nzi kwa nyundo. Kuna mambo mengi yanagusa jamii nzima kwa ujumla watu mmetulia tu ila ushoga kila mtu anatokwa povu. Nonsense.
Uko right [emoji817] %
Mambo ya muhimu mfano Katiba iliyo bora, Tume huru ya uchaguzi, vita dhidi ya ufisadi, Elimu bora nk mambo ambayo yanagusa kabisa maisha ya kila siku ya kwao na watoto wao wako kimya kabisa na hata baadhi ya watu wakiwapigania wanaishia kuwabeza tuu lakini wamechotwa na suala la ushoga kama vile watu wanalazimishwa kwa mtutu wa bunduki.

Hii nguvu ya hadi mashehe na maandamano ingewekwa kwenye vitu nilivyo taja hapo juu hivi kweli taifa lingekuwa limeganda hapa lilipo?
Vita ya kupambana na ushoga ni sawa tuu na kupambana na mihadarati maana ni tabia na inaweza kupiganwa kwenye ngazi ya jamii tuu na watu walajikita ki nchi katika hayo mambo makuu kama ya kitaifa.
 
MNAWALEA WATOTO WENU WAWE MASHOGA ALAFU MNAILAUMU MALEKANI...

IVI MNAAKILI TIMAMU NYIE???????......

MMELOGWA.
MMELAANIWA.

MACHIZI KWELI.

Mwanao unamuandaa awe SHOGA alafu unailaumu MALEKANI Pumbafu kabisa
 
Nafikiri Cha msingi tungehoji kwanza hayo masharti nafuu tunayotangaziwa na mwigulu Kila mara wanapoenda kukopa ni yapi?

Isije kuwa mnapiga tu kelele humu ukute kumbe tumekubaliana nao na hii yote ni sababu wanafanya hiyo mikataba Siri watanzania tuamke tudai mikataba iwekwe wazi
 
View attachment 2551469

Tumepata habari rasmi kuwa kuna ujio wa ugeni mzito tika Marekani. Zaidi soma Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

Makamu wa Rais Marekani mama Kamara Harris anakuja ziara ya kiserikali nchini mwetu Tanzania.
Hii ni heshima kubwa kwa Tanzania.

Hapa nchini watakuwa wameisha fika marais watatu kwa kumbukumbu zangu, Rais Bush, Rais Obama na sasa Makamu Kamara Harris.

Ila kwa vuguvugu la huu ushetani unaoongozwa na serikali ya Marekani, hasa chama cha Democrats, kutetea ushoga, mimi binafsi natofautiana na Wamarekani.
Kwa sisi waafrika ushoga ni mwiko, haramu, chafu.

Naomba Mama Samia mkaribishe mama Kamara Harris ambay5e tabasamu lake ni la kukata na shoka, nalipenda sana.

Lakini ushoga mwambie si sera ya CCM, wala CHADEMA, wala ACT.
Sera za ushoga mwambie zisije na Airforce Two.
Kwenye eneo hilo naamini watagonga mwamba. Tanzania siyo mwepesi kwa misaada yenye masharti na sera yetu ya nje ni NON ALIGNMENT.

Japo watu wanamchukulia Samia kama mpenda misaada na mikopo, lakini wakumbuke kuwa ni Mwisilamu safi, mnyenyekevu na mcha Mungu. Hawezi kuruhusu uchafu kama huo utokee nchini mwetu.
 
Kwani unaamini ushoga haupo Tanzania au unataka usiwe rasmi?
Sheria za kupinga ushoga na hukumu zake zipo.
Kama wizi na uuaji, upo pamoja na sheria kuwepo.
Lakini ushoga unakuja kwa shinikizo la hso wakubwa, lazima waambiwe hili linafaa kwao tu, kwetu mwiko.
 
Una uhakika Tanzania ina Sheria dhidi ya ushoga?
 
Miafrika inatumia nguvu zote kupinga ushoga ila mambo mengine ya msingi haifanyi.

Nguvu inayotumika kupinga ushoga, swala ambalo ni almost negligible, ni sawa na kuua nzi kwa nyundo. Kuna mambo mengi yanagusa jamii nzima kwa ujumla watu mmetulia tu ila ushoga kila mtu anatokwa povu. Nonsense.
Watu wakiwa machoko hayo mambo mengine ya msingi yatafanyikaje wakati nguvu kazi itakua inarembua macho na kua rojorojo? mambo ya msingi yanaanzia kwa kua na nguvu kazi yenye maadili mema na kumuogopa Mungu,kila jamii ina taratibu zake,kama jamii fulani inaukataa ushoga,kwanini ilazimishwe kuukubali na jamii zingine? lengo lao ni nini hasa?
 
Wazungu ni intelligent sana , wanajua wanachofanya , wameshasoma mindset zetu, kwamba ukitujaza ujinga tutaspend decades kuujadili , ni kama vile mbwa unavyompa fupa alilambe , hapati ladha na atapoteza muda wake wakati wewe unafanya yako.
Namamini hii kasi ya wao kuutangaza na kuukubali ushoga huko kwao , ni njia ya kutu provoke , tutatumia.muda na nguvu nyingi kupimga na kujadili huku wao wakisonga mbele zaidi ,

Tim cook , ni shoga lakini apple na Nike wanategemea kichwa chake kwa maendeleo ya kampuni
Uko right [emoji817] %
Mambo ya muhimu mfano Katiba iliyo bora, Tume huru ya uchaguzi, vita dhidi ya ufisadi, Elimu bora nk mambo ambayo yanagusa kabisa maisha ya kila siku ya kwao na watoto wao wako kimya kabisa na hata baadhi ya watu wakiwapigania wanaishia kuwabeza tuu lakini wamechotwa na suala la ushoga kama vile watu wanalazimishwa kwa mtutu wa bunduki.
Hii nguvu ya hadi mashehe na maandamano ingewekwa kwenye vitu nilivyo taja hapo juu hivi kweli taifa lingekuwa limeganda hapa lilipo?
Vita ya kupambana na ushoga ni sawa tuu na kupambana na mihadarati maana ni tabia na inaweza kupiganwa kwenye ngazi ya jamii tuu na watu walajikita ki nchi katika hayo mambo makuu kama ya kitaifa.
Family ndio essence of life, siyo mihemuko ya sexual fantansies.

Huko Zimbabwe mahakama imewahukumu mashoga wawili kifungo cha mwaka mmoja jela. Katika mwaka huo wanatakiwa wapate mtoto wa kumzaa wao wenyewe.
Wakishindwa waendelea kutumikia kifungo kwa miaka 30.
 
kwa taa
Una uhakika Tanzania ina Sheria dhidi ya ushoga?
Kwa taarifa yako, sheria ipo na Penal Code naambatanisha:

154.Unnatural of offences

(1)Any person who-

(a)has carnal knowledge of any person against the order of nature; or

(b)has carnal knowledge of an animal; or

(c)permits a male person to have carnal knowledge of him or her against the order of nature.

commits an offence, and is liable to imprisonment for life and in any case to imprisonment for a term of not less than thirty years.

(2)where the offence under subsection (1) of this section is committed to a child under the age of ten years the offender shall be sentenced to life imprisonment."
 
Family ndio essence of life, siyo mihemuko ya sexual fantansies.

Huko Zimbabwe mahakama imewahukumu mashoga wawili kifungo cha mwaka mmoja jela. Katika mwaka huo wanatakiwa wapate mtoto wa kumzaa wao wenyewe.
Wakishindwa waendelea kutumikia kifungo kwa miaka 30.
Maswala ya uzazi ni chaguo binafsi , kuoa ni kitu kimoja na kuzaa ni kingine kabisa haimaanishi ukiwa kwenye mahusiano lazima uzae,
Hiyo mahakama ya zimbabwe ni kama mahakama nyingi afrika, very rough justice! , duniani huwezi mshitaki mtu kwa kutokuzaa ,haipo!
 
Inasikitisha sana
Na ubaya viongozi nao wameshajua kucheza na vichwa vya raia zao wajinga.

Museven kakamata na kufunga mashoga huko Uganda, imempatia political milage hata kwa nchi jirani, wanasahau dikteta katawala miaka 30 plus na hana habari na democracy.
Nguvu tunayopinga ushoga tungeweka kwenye katiba mpya ingependeza sana.
 
kwa taa
Kwa taarifa yako, sheria ipo na Penal Code naambatanisha:

154.Unnatural of offences

(1)Any person who-

(a)has carnal knowledge of any person against the order of nature; or

(b)has carnal knowledge of an animal; or

(c)permits a male person to have carnal knowledge of him or her against the order of nature.

commits an offence, and is liable to imprisonment for life and in any case to imprisonment for a term of not less than thirty years.

(2)where the offence under subsection (1) of this section is committed to a child under the age of ten years the offender shall be sentenced to life imprisonment."
Haya bwana. Mimi ni naive wa Sheria na misamiati yake. Nilifikiri nitaona neno "gay" au "lesbian". Kumbe Kuna "carnal"!
 
Kama miaka nenda rudi hamtafuti njia za kuwa independent na kuendelea kutemea wahisani na mikopo, hamuwezi kuwa na sauti ya kupinga ushoga. Mtaendelea kuwa motivated mbanduane na kuona kubandua kwa same sex ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom