Kwa hiyo unaona sawa mbunge kupewa mafao yake yote baada ya miaka 5 halafu raia wa kawaida alieachishwa kazi kupewa mafao yake yote unasema vya bureWatanzaniaz wanapenda vya bure, duuuh!
Poleni wafiwa..Tuko katika kipindi cha majonzi tuache kwanza kila jambo linafanyika kw kusidio kwaajil ya kujenga nchi kama mafanikio ya kujengwa kw reli,flyover, viwanda, madaraja kuongezeka kwa bajet ya mfuko wa afya kwahiyo jiongenze kw kusimamishwa hiki ni kwaajil ya kuimarisha kitu fulan ilhali tupate maendeleo na kuelekea ktk uchumi wa kati tunapokimbilia.
Kama kadanganywa ina maana hasikii minong'ono mitaani au mitandaoni kila mahali watu wanalalamika.Suala hili si la kumuomba mama Samia,bali muombe Mungu.Kwani waliolileta bado wapo sana.Ogopa wasomi wenye roho mbaya,unaweza kumlaumu bure kiongozi kumbe kadanganywa.
Naamini Mungu wetu hajalala,bali atajibu kwa wakati wake.
Sasa hapo cha bure ni kipi mkuu? Mtu kudai haki ya mafao yake halali ni kupenda bure?Watanzaniaz wanapenda vya bure, duuuh!