Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

Wafanyakazi wajifungulie akaunti zao binafsi za akiba kila mwezi watie kiasi cha fedha ili kujiwekea akiba kwa siku za mbeleni maana hii mifuko ya hifadhi ya mafao ya pensheni michango yake ni midogo na serikali inayoongozwa na wanasiasa haiwezi kuongeza kima cha makato toka ktk mishahara kwani wafanyakazi mtalalamika na kuandamana. Mifuko ya hifadhi ya serikali au umma imefilisika au ina madeni makubwa au imekopwa pakubwa kugharamia miradi ya vitu kama madaraja, reli na barabara bila fedha hizo kurejeshwa kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii / pensheni na serikali hasahasa kwa nchi masikini .

Mfanyakazi wa kitanzania buni mbinu mbadala wa kujiwekea mradi au akaunti binafsi iweze kukusaidia siku za changamoto badala ya kutegemea michango yako kiduchu ya makato ya kila mwezi unayoweka kama mifuko ya kijamii au umma ya mafao na pensheni. Mkulima na mfugaji kijijini ameshalielewa hilo hivyo amejiwekea mikakati ya kujikimu ktk siku ngumu za mbele zisizoeleweka.


Santiago, Chile


Dr. José Piñera is considered the architect of Chile’s successful private national pension system created in the early 1980’s. The Piñera Chilean Model has been adopted by many countries and is studied around the world by governments as an innovative model for privatized pensions. He has advised governments on the process of economic liberalization, including the Presidents of Argentina, Colombia, Bolivia, El Salvador and Peru, and he has been active in providing advice and viewpoints in the United States as well as in Europe.

The Piñera privatization model of Social Security has brought significant economic benefits to Chile’s economy because it has improved the functioning of both capital and labor markets. Social Security privatizing has been one of the key reforms that has pushed the growth rate of Childe upward from three percent a year to seven percent in the past decade.


Dr. Piñera, in fostering privatization of national pension systems, has made a contribution to the insurance industry by opening up awareness and acceptance of life and annuity products that help people build assets for the future. He is the Founder and president of the Intentional Center for Pension Reform, Chile, and he is co-chair of the Cato Institute Project Source : José Piñera | Insurance Hall of Fame

https://www.ft.com › content
Pensions and the Piñeras | Financial Times

9 Mar 2018 — After José Piñera pioneered the introduction of a defined-contributions pension system in Chile during the dictatorship of General Augusto ...
 
6 December 2018

TUCTA YAITAKA SERIKALI IRUDI MEZANI KUJADILI MAFAO YA WAFANYAKAZI

MOROGORO SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limeiomba Serikali kurudi kwenye meza ya mazungumzo na vyama vya wafanyakazi kupata ufumbuzi wa vikokotoo vya mafao ya pensheni.

Akizungumza na waandishi wa habari jana baada ya kikao cha kamati ya utendaji, Rais wa TUCTA, Tumaini Nyamhokya, alisema vikokotoo hivyo vimepokelewa na wafanyakazi kwa mtizamo hasi lakini wanaamini fursa ya majadiliano itasaidia kuepuka mgogoro kati ya Serikali na wafanyakazi.

Kikao hicho kilikuwa na lengo la kujadili hoja ya kuunganishwa mifuko ya hifadhi ya jamii na vikokotoo vya mafao ya pensheni kwa wastaafu wa mifuko ya PSSSF na NSSF. “Kwa kuzingatia hekima na busara na kwa kutambua mchango mkubwa wa wafanyakazi nchini, ni vema Serikali ikaliona hili katika mtizamo chanya kwa kutafuta ufumbuzi utakaoleta tija kwa wafanyakazi na taifa.

“Tunawaomba wafanyakazi wote wawe watulivu, ukweli ni kwamba tangu hatua za awali TUCTA tumeshirikishwa lakini tatizo limekuja kujitokeza kwenye kutungwa kanuni. “Baada ya kikao hiki tutakutana na waziri, tunaamini amesikia kauli yetu na kilio cha wanachama wetu. Ni imani yetu watalifanyia kazi suala hili kuleta unafuu kwa wanachama wetu,” alisema Nyamhokya.


Shirikisho hilo la TUCTA lilisema awali lilipendekeza mafao ya mkupuo yawe asilimia 40 na asilimia 60 iwe pensheni ya kila mwezi badala ya kanuni za sasa zinazomlipa mstaafu asilimia 25 kama malipo ya mkupuo na asilimia 75 kama pensheni ya kila mwezi.


“TUCTA kama mwakilishi wa wafanyakazi nchini tulishiriki katika mchakato mzima wa kutungwa kwa Sheria ya PSSSF namba 2 ya mwaka 2018 kwa kutoa maoni na msimamo wetu kwenye vikao mbalimbali vya wadau.

“Ni wajibu na haki yetu kusema kwamba mapendekezo yetu kwenye sheria hiyo yalizingatiwa kwa kiwango kikubwa sana tatizo limekuja kujitokeza kwenye kutungwa kanuni,” alisema.

Alisema katika kutungwa kanuni hizo, Ofisi ya Waziri Mkuu ilishirikisha wadau wote likiwamo shirikisho hilo na kwamba Juni 7 na 8 mwaka huu, walipokea mapendekezo ya vikokotoo hivyo na kuomba muda wa kuvipitia kabla ya kutoa maoni yao. Alisema Juni 12 kikao kingine kilifanyika Ofisi ya Waziri Mkuu ambako upande wa wafanyakazi kupitia TUCTA waliwasilisha maoni na mapendekezo yao juu ya kanuni zilizopendekezwa na Serikali. Kwa mujibu wa Rais huyo wa TUCTA, miongoni mwa maoni yao ni Serikali kuendelea na kanuni zinazotoa malipo ya mkupuo (asilimia 50), kikokotoo cha 1/540 na umri wa kuishi baada ya kustaafu miaka 15.5 kwa wafanyakazi waliopo kwenye mifuko.

Hata hivyo, alisema waziri aliwaahidi tafanyika tathmini tena kuangalia mali zote za mifuko na uwezekano wa kupandisha kikokotoo. “Waziri alitupa ushirikiano mkubwa, tatizo hatukufikia yale tuliyoyataka na Agosti 15 Waziri alituita na kutueleza kuwa majadiliano yanaweza kuendelea hata baada ya kutangazwa kanuni mpya,” alisema. Hata hivyo alipoulizwa kwa nini hoja ya kupinga vikokotoo hivyo imekuja sasa wakati Mifuko ya NSSF na PPF walikuwa wakilipa asilimia 25, alisema kuumia kwa mfanyakazi mmoja ni sawa na kuumia kwa wafanyakazi wote. Kulingana na SSRA vikokotoo vinavyotumika vilianza tangu Julai Mosi, 2014 na tayari wastaafu wa Mifuko ya Pensheni ya NSSF na PPF walikuwa wakipokea pensheni kwa kikokotoo hicho.

Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Dk. Irene Isaka, alikaririwa na vyombo vya habari wiki iliyopita akisema kilichobadilika ni kiwango cha mkupuo kwa kundi dogo la wanachama takribani asilimia 20 ya wanachama wote wa sekta ya hifadhi ya jamii waliokuwa wakipokea mkupuo wa asilimia 50 wawe sawa na wanachama wenzao wanaopokea asilimia 25
 
WANAOPINGA FAO LAKUJITOA
Mungu awape magonjwa yasiyotibika, mfe vifo vibaya, mkachomwe moto kwa kutuibia pesa zetu.
figo zenu zifeli
mfe kwa kisukari
 
Back
Top Bottom