Rais Samia ndani ya Dubai EXPO 2020 kutangaza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania

Rais ana uzito,analeta attention kwa wawekezaji
Kuna haja ya kuwa na balozi sasa ?

Unafikiri ni wananchi asilimia ngapi wa U.A.E wanamjua huyo mama?

Na attention ipi unayoizungumza ataileta?

Nilitarajia hiyo Expo ingefanyika Tanzania na huyu mama akawa mgeni rasmi ndio ungesema anatengeneza attention sababu asilimia kubwa attention ingekuwa Tanzania.

Hiyo siku watakao kuwa wa ufuatiliaji ni watakaokuwapo kwenye tukio hilo.
 
Kitendo cha Rais kwenda Dubai kutangaza utalii, bado inaonyesha ni jinsi gani mfumo wa utawala usivyoweza kuaminika mbele ya Rais. Mabalozi na viongozi wengine wako wapi kutumwa kumwakilisha Rais. Period!
 
Halafu dogo nilijua hili sio jina lako halisi
 

Mtaishia hivyo hivyo,Samia sio mjinga wala punguane kama yule mtu wenu.

Rubbish kama nyie tunawapuuza afu tunaendelea na Kazi,nje kula tulivyowatafutia👇











 
Mama anakwenda shopping huyo! Hiyo siyo kazi ya raid! Ila Tz kamani hadi huruma! Eh Mungu uturehemu waja wako🙏!
 
✓Fursa ya kuvutia uwekezaji nchini kwa sababu yananakutanisha wafanyabiashara, watoa huduma na wawekezaji kutoka mataifa mengi kwa wakati mmoja

✓Fursa ya kutangaza na kuonesha mazao, bidhaa, utamaduni, sanaa na huduma zinazozalishwa na kutolewa nchini hivyo kufungua na kupata masoko mapya kwani yanakutanisha nchi nyingi na makampuni mengi ya kibiashara kwa wakati mmoja

✓Fursa ya kukuza chapa ya Nchi yetu (Brand) kwa sababu yanakutanisha nchi nyingi na yanafuatiliwa na watu wengi duniani

#CCMImara
#TunaifunguaNchiKimataifa
#TunaifunguaNchiKiuchumi
#KaziIendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…