Rais Samia ndiye Rais atakayeongoza nchi kwa mafanikio makubwa sana. Ni suala la muda tu kila mtu atamuelewa dhamira yake kwa Watanzania

Una maanisha au unaongea ilimradi
 
Ni suala la muda tu kila mtu ataelewa kuwa Samia ni fisadi
Your browser is not able to display this video.
 
Hana lolote huyu mtu anauza kila kitu cha watanganyika.
 
Una uhakika yeye ndiye anayeongoza nchi?
 
Hahaha Mkuu Elli nakuheshimu sana, naheshimu kuanzia threads zako na madini yako...
Mimi nasema ukweli wa moyo wangu,nampenda Rais Samia.Sina haja ya kuweka namba ya Simu.Najua akihitaji kunipata atanipata popote pale.JF hii ni dude Kubwa sana.
Basi Mpwa kila la heri, mengine nitakushauri inbox
 
Dhamira ?, Kila mtu huwa ana-dhamira nzuri na sidhani kama kuna mtu huwa anaamua ngoja niende nikaharibu from the get go....

Issue ni kwamba watu wanapimwa kwa outcome na kama outcomes ni mbaya au haziridhishi huenda hata huo muda wa kutokutimiza dhamira zako hautaupata....

Vilevile miaka kumi ni muda mchache ndio maana kwa afya ya nchi sio kila mtu kuja na matakwa yake bali ni kutekeleza matakwa ya nchi ya muda mrefu..., angemalizia Bwawa la JKN na umeme / nishati kushuka ingekuwa heri kuliko kuendelea kushika shika hapa na pale na kule, nadhani umesahau msemo wa ndege mmoja mkononi ni bora kuliko tisa waliopo mwituni.....
 
 
Ni kweli ni suala la muda tu ataondoka kwani ni kichaa peke anayeweza kuamini kwamba ana dhamira na nchi
 
Sasa Hv kiongozi yeyote mwenye akili kubwa atasoma tu alama za nyakati basi,yaani unawaongoza watu wa aina gani,maisha yao yakoje? Yanafuraha au yamejaa huzuni na mateso,je wanaona furaha kuwa ktk nchi yao,je wanawafurahia viongozi wao pasipo unafiki hapo hakuna cha kukusanya maprofesa wala madokta,SIKILIZA WATANZANIA WANASEMA NN na sio maprofesa na madokta utapoteza muda tu bure.Mathalan unamsikiliza profesa kama Mkandala utapata nn zaidi ya usahauri wa kijinga uliojaa unafiki na kujipendekeza.
 
Hapo kwenye umeme fafanua kidogo sija elewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…