Waziri anajimwambafy sana na kashatoa kauli fulani za kishenzi, nashangaa kaachwa mpaka leo. Ila serikali yetu haijali sana kauli.Yes Ila kuna ka sauti kanasema hivo na mkeka unaweza kuwepp hapo mbeleni ukawagusa untouchable hapo mbeleni kuanzia sasa Mpaka mwakani Jan
Muongo muongo huyo asikupoteze jibwa miruzi mingiWaziri anajimwambafy sana na kashatoa kauli fulani za kishenzi, nashangaa kaachwa mpaka leo. Ila serikali yetu haijali sana kauli.
Ila pia, kuhusu dola, kuna matatizo ya kimfumo ambayo hata akiwekwa mtu mwingine yatabaki tu.
Kama nchi haina exports nyingi za kuiongezea nguvu hela yetu dola itapanda tu, watajaribu kuishusha kwa muda mfupi kwa ku pump dollars kwenye market, lakini huo ni ujinga tu kwa sababu ni kama kuzuia maji ya bahari kujaa ufukweni kwa ndoo.
Chadema ni habari ingine nchiniNadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Samia anadhani kuhonga wapinzani na viongozi wa dini ndo atatoboa 2025,Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Si chadema imekufa kwanini itawale upepo Hadi mawazir wa majizi ya kura wabadilishwe.Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Kala bange!Ba
Bangi sio kitu kizuri😏
Kitengo kazini.Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Tuliza kipira..Muongo muongo huyu usimsikilize kesho atahamia kwa Waziri Mkuu na Naibu wake
Hawataweza labda habari kubwa inayoweza kutikisa nchi Labda Samia ajiuzulu, au atekwe au afeUpo sahihi Britanicca, proganda inaweza kutokea jumapili hii,kuizima chadema
Huwa una info unajifanya kunusa ,Sasa Mwigulu mnamtoa Kwa sababu gani?Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Alijisahau siku anawaapisha mawaziri akaongelea namna suala fulani lilivyopata watazamaji wengi mtandaoni kuliko suala lenye kumhusu yeye moja kwa moja.Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?
Ni mawazo yangu tu
Nipate Vodka hapa
Britanicca
View attachment 3181020
Nafasi nyeti hiyo siku zote anakuwa msiri wa karibu sana wa Mheshimiwa Rais.Katika post ngumu kubadilisha mojawapo ni waziri wa fedha.
Ukikosea kubadilisha waziri wa fedha unaweza kuyumbisha uchumi.
Kwa record za huyu jamaa hapa jamvini si wa kumchukulia poaUmeshapata za ndani kuwa kuna jambo linakuja nini?
Hizi banana 🍌 🍌 republic hazijali hilo.Katika post ngumu kubadilisha mojawapo ni waziri wa fedha.