Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

Yes Ila kuna ka sauti kanasema hivo na mkeka unaweza kuwepp hapo mbeleni ukawagusa untouchable hapo mbeleni kuanzia sasa Mpaka mwakani Jan
Waziri anajimwambafy sana na kashatoa kauli fulani za kishenzi, nashangaa kaachwa mpaka leo. Ila serikali yetu haijali sana kauli.

Ila pia, kuhusu dola, kuna matatizo ya kimfumo ambayo hata akiwekwa mtu mwingine yatabaki tu.

Kama nchi haina exports nyingi za kuiongezea nguvu hela yetu dola itapanda tu, watajaribu kuishusha kwa muda mfupi kwa ku pump dollars kwenye market, lakini huo ni ujinga tu kwa sababu ni kama kuzuia maji ya bahari kujaa ufukweni kwa ndoo.
 
Muongo muongo huyo asikupoteze jibwa miruzi mingi
 
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Chadema ni habari ingine nchini
 
Samia anadhani kuhonga wapinzani na viongozi wa dini ndo atatoboa 2025,
 
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Si chadema imekufa kwanini itawale upepo Hadi mawazir wa majizi ya kura wabadilishwe.
 
Mkuu je, ñi wewe,Samia,CDM au Mwigulu mmoja kati yenu ni muhusika Mkuu kwasababu ujumbe wako unakuja wakati jamii ina mixed feelings Sana.
1.Uchaguzi Serikali za Mitaa
2.Tukio la Tegeta
3.Kauli ya Mtu KAZI dhidi ya Beloved son
4.Lissu na Mbowe
 
Watu wa mwambao hutegemea sana upeppo kufanya mambo yao.
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
 
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Kitengo kazini.
 
Upo sahihi Britanicca, proganda inaweza kutokea jumapili hii,kuizima chadema
 
Naye Ngwigulu kiburi kingi kwa wananchi, hata kama wengi wanauelewa mdogo hautakiwi kuwaletea dharau na ujuaji kila mara.
 
Mkuu britanicca uzi wako ushamtajirisha mganga wa Mwigulu.

Alipouona tu huu uzi keshawasha Land Cruiser kwenda kutambika.
 
Upo sahihi Britanicca, proganda inaweza kutokea jumapili hii,kuizima chadema
Hawataweza labda habari kubwa inayoweza kutikisa nchi Labda Samia ajiuzulu, au atekwe au afe

Hizi zingine hakuna habari hapo
 
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Huwa una info unajifanya kunusa ,Sasa Mwigulu mnamtoa Kwa sababu gani?
 
Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia,
Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku sahau mambo ya CHADEMA ?

Ni mawazo yangu tu

Nipate Vodka hapa

Britanicca

View attachment 3181020
Alijisahau siku anawaapisha mawaziri akaongelea namna suala fulani lilivyopata watazamaji wengi mtandaoni kuliko suala lenye kumhusu yeye moja kwa moja.

Anaonekana ni mtumiaji mzuri wa hizi iphone za kisasa na yupo karibu sana na mada zile za moto moto.
 
Mwigulu hafai kuwa waziri wa fedha kama anashidwa hata kumwambia mama alipe wazalishaji kama wakandarasi yeye yuko busy kuonga machawa na viongozi wa dini amna kitu hapo
 
Katika post ngumu kubadilisha mojawapo ni waziri wa fedha.

Ukikosea kubadilisha waziri wa fedha unaweza kuyumbisha uchumi.
Hizi banana 🍌 🍌 republic hazijali hilo.
 
Back
Top Bottom