Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Waziri anajimwambafy sana na kashatoa kauli fulani za kishenzi, nashangaa kaachwa mpaka leo. Ila serikali yetu haijali sana kauli.Yes Ila kuna ka sauti kanasema hivo na mkeka unaweza kuwepp hapo mbeleni ukawagusa untouchable hapo mbeleni kuanzia sasa Mpaka mwakani Jan
Ila pia, kuhusu dola, kuna matatizo ya kimfumo ambayo hata akiwekwa mtu mwingine yatabaki tu.
Kama nchi haina exports nyingi za kuiongezea nguvu hela yetu dola itapanda tu, watajaribu kuishusha kwa muda mfupi kwa ku pump dollars kwenye market, lakini huo ni ujinga tu kwa sababu ni kama kuzuia maji ya bahari kujaa ufukweni kwa ndoo.