Rais Samia ni Mkakamavu na Shupavu Utafikiri Ametoka Kumaliza na kufuzu Mafunzo ya Ukomandoo

Tusubiri hapo kwenye kampeni mkoa to mkoa kijiji to kijiji kata to kata kitongoji to kitongoji akitoboa ndio tutajua huo ukakamavu wake
Hata mkitaka apite nyumba kwa nyumba .anauwezo wa kufanya hivyo pasipo kuchoka
 
Kunywa kwanza maji ya baridiii halafu urejee tena hapa akili ikiwa imetulia.
 
Mimi binafsi namuelewa sana lucas kwasababu najua hata yeye kura yake itaenda kwa Lisu na sio yeye tu yoyote anayejifanya kumpenda samia akiwa nyuma ya keyboard.
Embu acha kuongea ujinga jinga hapa. Hivi mtu mwenye akili Timamu unaanzia wapi kumpa kura yako ya ndio mtu kama lissu?
 
Embu acha kuongea ujinga jinga hapa. Hivi mtu mwenye akili Timamu unaanzia wapi kumpa kura yako ya ndio mtu kama lissu?View attachment 3240668
Lukac ukimsoma vizur ntobi utagundua anamtaja Magufuri na sio Samia .Magufur na Lisu hata mimi nitamchagua Magufuri.Leo John hayupo na CCM mnaenda na Samia .mimi naamini hata wewe hutamchagua Samia utaishia kusema tu kura ni siri ya mtu deep down ume vote kwa Lisu.
 
Rais Samia akili kubwa na kipenzi cha watanzania ndio chaguo letu mamilioni kwa mamilioni ya watanzania
 
Kwa mama Inatosha Mtukane basi hata Ndugai au Msifie Wasira au Wasira humpendi?

Au msifie Mpango au Mpango hana hela?
 
HUYO MWENYE SUTI YA BLUU BAHARI NI JGUI DIARRA AU SIONI VYEDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…