Rais Samia ni nani hata mvua zimtii?

Ebu acheni ujinga hiyo ni science at work,kasoma utabiri wa hali ya hewa ili awaibue wajinga kama wewe.

Acha kumsingizia Mungu kwenye mambo ya kipumbavu,tunajua Samia ametokana na nini na kwa uchaguzi wa aina gani.
 
Andika majina Yako yote, Namba za simu,ikiwezekana na namba zako za simu, labda utabahatisha kuteuliwa.
 
Kumbuka huu ni msimu wa Masika. Mnvua inaweza nyeesha wakati wowote.

Ukitaka kumpima kama ana uwezo huo subilia mwezi wa saba kama zitamtii basi atakua na uwezo huo unaousema.
 
Mungu anapenda tuishi kwa kumpendaza yeye kama umchafu malaika hukaa pembeni ,tena wavumilivu ukijisafisha wanarudi ndani mwako
 
Huyu mleta mada huu ukame ++
Hajauona. Nimeamini maccm yakiambia nkwamba rangi ya nyasi Ni bluu yatakubali.
Kifupi we taga umechelewa teuzi zilishaisha zimebaki zile za kisomi tu. Ukuu wa wilaya usiohitaji akili tulishamaliza.
 
Jitahd uchawa bongo unalipa
 
BIG CHAWA
 
Jamani. Mkutano ulitokea Mwanza, siyo Dodoma. Tafadhali.
Tumshukuru Mungu ila ajabu ni nini?

 
Pole Sana mvua zimeanza kumiminika kila Kona ya nchi,umeumbuka na uchuro wako.
 
Mkuu kapimwe matone ya ubongo. Ni hilo tu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa hawasomi weather forecast.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Wewe utakuwa ni shoga wa kizanzibari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…