Stan Mashamba
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 3,183
- 2,479
Sawa sawa. Kwa kuwa watanzani tuko wajinga na waoga.Tuna matatizo mengi katika jamii yetu, kwa mujibu wa mama, serikali haina uwezo wa kufanya chochote zaidi ya kuleta tozo, maeneo kama;
1. Watoto kukaa chini darasani
2. Uhaba wa madawa hospitalini....
Presidency of 6thc is loughing stockNimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe.
Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini
Kuchanga sio tatizo,mlishirikisha nani,mmekosa ubunifu wa kubuni vyanzo vipya katika vingi vilivyopo.Tupo wengi mno tunaokubali tozo. Tunachangia vitu vingapi sembuse tozo?
Pasi hazifikiMama anaupiga mwingi
Barabara nyingi ni za misaada toka nje,hili la dabo tozo halieleweki bado.Ndio kuna vijiji kibao barabara hazipitiki. Hakuna maji n.k.
Bahati mbaya hatuna wabunge wa kuchaguliwa tuna wabunge wa tume na IkuluMbunge wako akikubali kitu, basi ujue kakubali kwa niaba yako. Yeye ndio mwakilishi wako katika ngazi za maamuzi.
Upo sahihi kabisa comradeUkiendelea kutafakari tozo kumbuka KILA v8 moja linapewa lita 2100 bure kwa mwezi kodi yako milioni 5 imeenda hapa,Kazi ya v8 ni kumpeleka boss ofisini kumrudisha nyumbani kupeleka watoto shule, kupeleka familia kanisani
Hatari sn tunapata shida kupita kiasiSasa lini zimepunguzwa....wakati makamuzi yanaendelea kimya kimya, huku kunaitwa kupatwa kwa jua.....
Ila kwa hapo ukipatafakari sana panaumiza kiana.Ukiendelea kutafakari tozo kumbuka KILA v8 moja linapewa lita 2100 bure kwa mwezi kodi yako milioni 5 imeenda hapa,Kazi ya v8 ni kumpeleka boss ofisini kumrudisha nyumbani kupeleka watoto shule, kupeleka familia kanisani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mbunge wako akikubali kitu, basi ujue kakubali kwa niaba yako. Yeye ndio mwakilishi wako katika ngazi za maamuzi.