Tozo zikianzia kwa Wabunge ni chanzo kizuri sans.Raisi kajieleza vizuri kabisa. Kwamba tozo ni kubwa na hivyo ziweze kupunguzwa. Lkn pia kasema tozo zilianzishwa ili tuweze kupelekewa huduma za kijamii maeneo ambayo bajeti yetu ya kawaida ilishindwa kufika. Ko badala ya kulalamika ni vyema tukaanza kuiombea serikali yetu itimize adhima ya kutuletea huduma vijijini.
Baada ya kuharisha ujinga kama huu ungetuambia kwanza serikali imefanya nini kubana matumizi yake kabla hawajawakamua wananchi ambao wengi ni mafukara wa kutupwa? Kwa nini wabunge wanachukuwa malipo makubwa kulinganisha na kazi zao? Kwa nini mikoani na wilayani kuna utitiri wa viongozi wanalipwa na kutembelea magari ya bei kubwa wakati nchi yetu ni maskini?Raisi kajieleza vizuri kabisa. Kwamba tozo ni kubwa na hivyo ziweze kupunguzwa. Lkn pia kasema tozo zilianzishwa ili tuweze kupelekewa huduma za kijamii maeneo ambayo bajeti yetu ya kawaida ilishindwa kufika. Ko badala ya kulalamika ni vyema tukaanza kuiombea serikali yetu itimize adhima ya kutuletea huduma vijijini.
Kuna hoja zingine zinatia kinyaa kabisa; yaani Rais mwenye kila aina ya wasaidizi wake anaongea vitu useless kabisa.Raisi kajieleza vizuri kabisa. Kwamba tozo ni kubwa na hivyo ziweze kupunguzwa. Lkn pia kasema tozo zilianzishwa ili tuweze kupelekewa huduma za kijamii maeneo ambayo bajeti yetu ya kawaida ilishindwa kufika. Ko badala ya kulalamika ni vyema tukaanza kuiombea serikali yetu itimize adhima ya kutuletea huduma vijijini.
...shida ipo kwenye kufungaMama anaupiga mwingi
ma makoTupo wengi mno tunaokubali tozo. Tunachangia vitu vingapi sembuse tozo?
Kichwani mweupe huyo..
Nakukumbusha tu upo tz na ccm sio wote ni watu, ni _____Unajiuliza mwenyewe ukiwa na HAMAKI.....
Na unajijibu mwenyewe ukiwa na HAMAKI.....
Watanzania tuko wengi ,post yako hainisemei mimi....MIMI NINATAKA IWEPO HIYO TOZO...muhimu iwe ndogo tu.....
Je una uhakika mtanzania mimi niko peke yangu ?!!
Rais ana vyanzo vya taarifa zaidi yako mdandamoni hapo.....hakurupuki na ndio maana usikivu wake umesababisha aiteue KAMATI ILI IJE NA MAPENDEKEZO.....
NAUNGA MKONO TOZO ILIYO NDOGO KWA MAENDELEO YA NCHI YETU WENYEWE
Nakazia!!!Nanukuu: "Nashukuru sana Watanzania wamekubali tozo vizuri"
My take:
Tukisema hamna Rais humo muwe mnaelewa sasa.