Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

Hakuwa amejiandaa kabisa na hiyo press hadi kupelekea kuwa na press mbovu kuwahi kutokea na haya ndiyo madhara ya kuandikiwa kila kitu angekuwa mwendazake kikeke jasho lingemtoka

Mwendazaje huyu aliyekua anakimbia waandishi wa habari?kule Uganda alivyohojiwa aliishia tu kusema ‘human rights is not my priority’ hahahahah
 
Upo sahihi 100%
 
Zungu ni mwenzako wa Lumumba acha kupayuka hovyo
 
Nanukuu: "Nashukuru sana Watanzania wamekubali tozo vizuri"

My take:
Tukisema hamna Rais humo muwe mnaelewa sasa.
Tena anasema na yeye Huwa anakatwa pesa akiwatimia ndugu zake .Yani yeye hajui kwamba anaishi bule Mana Kila kitu kwake ni bule ,kufikia hapo nimeamini hata nafasi aliyonayo haijui.Sasa kwa aina hii ya kiongozi nashindwa kujua hata hayo maendeleo kama kweli atayaleta.
 
Tz hakuna kiongozi mwenye vision ndo Mana mambo yako vibaya ,wapo kwa ajili ya kupiga tu
 
Mwambie huyo mjinga aelewe
 
jumong ni muongo sana yaani anaongea kama wanaomskiza ni wakazi wa maKUNDUchi.
Madaraka ya Kulevya ni hatari sana. Hapo kashalewa madaraka mtoto wa kizanzibari utamwambia nini.
 
Kipindi kizuri,ila kitafungiwa
 
Wa Zanzibar hawa jui maendeleo nini wao Wanachojua Dini Yao inakataza kufanya maendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TOZO za simu ni mbinu ya kufidia hela walizotumia kuwanunua wapinzani ili waunge juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…