Rais Samia ni zawadi kwetu Watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu

Hata Uganda enzi za Amini walisema ni zawadi iliyoletwa kutoka Mbinguni kuiongoza Uganda!
Unawezaje kumfananisha mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani na yule kichaa iddi amini? Bila Shaka haupo sawa, mama Samia Ni kiongozi kwelii kwelii, Ni kiongozi mwenye dira na muelekeo anayejuwa Ni wapi Tanzania inapaswa kuelekea, anayefahamu Ni wapi watanzania tunapaswa kuwa kiuchumi, Ndio sababu unaona namna anavyofanya kazi za kututumikia usiku na mchana, ndio maaana unaona namna mh Rais wetu mpendwa akifanya kazi bila kupumzika, ndio sababu unaona mh Rais wetu mpendwa akihakikisha kila Senti inayopatikana inakwenda kutatua changamoto za watanzania, ndio sababu unaona mh Rais wetu mpendwa akihakikisha na kutaka kuona watanzania wanafanya biashara na shughuli za kiuchumi bila bugudha Wala usumbufu wowote, Ndio sababu unaona mh Rais wetu mpendwa akitafuta fursa popote pale zinapopatikana hapa Duniani, Rais Samia Ni kiongozi aliyedhamilia kulipeleka mbele Taifa hili kimaendeleo
 
Wewe akili yako fupi. Sijafanansha, ni mifano nimetoa
 
Rais Samia Suluhu ni kiongozi wa ndoto za watanzania wengi amefanya maendeleo makubwa ndani ya siku 567 za utawala wake
 
Alambe asali ya wapi huyu! Anajikomba komba tu ili afikiriwe kwenye uteuzi. Amechagua kujitoa ufahamu, ili maisha yaendelee!

Hawa ndiyo wale uvccm ambao akili zao zote wamezihamisha kutoka kichwani, na kuzipeleka tumboni.
Acha makasiliko mama anaupiga mwingi sana haijawai kutokea kwanza amefungua milango ya ajira mambo ambayo tulikua tumesahau kabisa ameboresha sekta ya elimu pia amepunguza gharama za kilimo kupitia ruzuku ya mbolea sasa wakulima wananunua mbolea kwa nusu bei haya yote yamefanyika ndani ya siku 567
 

Namba ya simu.ujaweka
 
Ndugu zangu kwa hali hii mtegemee tutoboe? , Sijawahi kuona vijana wa hovyo na ajabu Kama hawa wanaosifia kwaajili ya kupata teuzi kwenye chama.... RUBBISH [emoji706]
 
Hapa panaitwa ni nyumbani kwa watu wanaoweza fikiria, wewe unaleta ushabiki na kuanzisha thrd. Tujadili kitu gani kwenye hayo mawazo mfu uliyoandika?
Huwezi ukaona Kama uwezo wako wa kufikiri ni wa kwenda taratibu
 
Penye ukweli lazima ukweli uzungumzwe, kwani Mimi nimeongelea Nini? Si nimeongelea masuala ya maendeleo yanayofanya na mh Rais wetu?
Ndugu zangu kwa hali hii mtegemee tutoboe? , Sijawahi kuona vijana wa hovyo na ajabu Kama hawa wanaosifia kwaajili ya kupata teuzi kwenye chama.... RUBBISH [emoji706]
 
Mambo matatu magumu kubadilika.
1.Popoma alieamua kuiamini CCM
2.Kijana muoga,mjinga na mnafki anaesubiri zali.
3. Ya tatu naificha Mana ataomba nifungiwe.
 
Mambo matatu magumu kubadilika.
1.Popoma alieamua kuiamini CCM
2.Kijana muoga,mjinga na mnafki anaesubiri zali.
3. Ya tatu naificha Mana ataomba nifungiwe.
Bila Shaka wewe Ni kutoka genge lile nililolisena Jana kuwa sijuwi linatumia vitu gani huko ufipa vinavyo athiri uwezo wa kufikiri na kujenga hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…