Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Nyerere hawezi kukwepa hizo lawama. Kuna waliompinga na mfumo wake mbovu ila alitaka kutawala kidikteta. Nyerere ametupitisha njia mbaya.Ewalaa sasa hapo tatizo sio nyerere ila wenye dhamana ambao wananufaika na mfumo mbovu aliotuachia Nyerere, sasa sisi inabidi tu dili na hawa waliopo tuanze na mama samia.
Nyerere kweli alichemka kutuachia huo mfumo wakidikteta ila anaetakiwa kubadilisha ni sisi yeye si tushamzika.Nyerere hawezi kukwepa hizo lawama. Kuna waliompinga na mfumo wake mbovu ila alitaka kutawala kidikteta. Nyerere ametupitisha njia mbaya...
Amekwishapoteza mwelekeo. Anachofanya sasa hivi ni kujaribu kuwaharibia wengine.Unaenda uwanja wa vita kwa mapambano wakati bado hujamjua adui ni nani!?
Vita itakapoanza ndio utashabgaa adui ni yule ambaye ulikuwa upande wako na msaada wako ndio yule ambaye umeelekeza silaha zako kwake.
2025 is around the corner
Hii iko hivyo hivyo DUNIA NZIMA!!! Hata marekani... Kwani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nafikiria tu!!Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake...
Zaidi ya kupinga kwa maneno tu, huwa wanafanya nini kingine? Kwanini maneno tu mnayachukulia ubaya kiasi hicho kuliko ninyi wenye dola mnaofanya "vitendo" kabisa ambavyo vingi ni vya hovyo.Mimi nina shida neno UPINZANI nalipinga sana. Maana wenyewe ni kuipinga tu serikali. Liwe jambo jema au siyo jema, wenyewe ni kupinga tu. Nadhani ni vyema tukataza upya muktadha na mantiki ya upinzani. Bora tungetumia neno M'BADALA.
Kenya ni nchi ya kibepari tangu mwanzo, tena ina katiba mpya,, wale kila nyumba ina umeme, maji, na kiwango cha elimu ni 99.9%😂.Nyerere kweli alichemka kutuachia huo mfumo wakidikteta ila anaetakiwa kubadilisha ni sisi yeye si tushamzika.
We subiri tu.. mi yangu macho,, lakini nasikia fununu wamarekani wataweka no fly zone,, ngoja tuone🤭"Nikijua wewe ni dhidi yangu, siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar"
Hii ni kauli ya kusikitisha kutoka kwa rais wa nchi...
Sahihi kabisaKaisome vizuri sheria ya vyama vya Siasa
Ni mfumo wa Chama Kimoja ulioboreshwa ndio sababu CCM haikusajiliwa popote ni Chama Dola!
Hhhahaha sureOya sisi hatutaki hata kusikia huyo maza anasema nini. Usiwe unatupostia utumbo wake
Mwanasheria yeyote ambaye ameiva katika Sheria,Huwa na allergy na tawala sizizotenda haki.Katika awamu iliyopita,haki za kibinadamu zilivunjwa zikiwemo kutekwa na kupotea watu na kuwafukuza kazi wenye vyeti feki pasipo malipo ya kazi aliyofanya Ndo kipindi hicho baadhi ya wanasheria walionekana kama wanaharakatiRais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake..
"No fly zone" ya nini tena mkuu 'Elungata', tena kwa rais kama huyu? Watakuwa wamekosa jambo mhimu la kufanya.We subiri tu.. mi yangu macho,, lakini nasikia fununu wamarekani wataweka no fly zone,, ngoja tuone🤭
Urais mtamu sana.Mh rais usianze kutupoteza hata sisi wapenzi wako ambao bàdo tunakutetea hata pale unapokosea wazi.
Kumbuka umeanza vema kwà kuliunganisha taifa sasa umesifiwa mgema tembo anaanza kukutia maji. Kumbuka hata magufuli alianza hvhv kidogo kidogo na mwisho wake wote tunaujua. Mama hii nchi ni yetu sore hii nchi ni ya watanzania wote kwà leo naishia hapa mama usikuwema na Mungu akubariki.