Tutafika tu kwenye nchi ya ahadi....Mungu ni mwemaDuh...!, kwa kauli kama hizi, kiukweli kabisa kuna vitu, ili twende salama, Mama lazima asaidiwe, kwa kuelimishwa kuwa ushirikishwa sio hisani, sio favor...
EEEeeeHeeeee!Kenya ni nchi ya kibepari tangu mwanzo, tena ina katiba mpya,, wale kila nyumba ina umeme, maji, na kiwango cha elimu ni 99.9%😂.
Kila kijana ana ajira rasmi,, moi kajitahidi sana kuijenga kenya🤷🏾♂️
'Of course', hata nchi kama Haiti na wao wanayo matumaini ya siku moja kutoboa, ila haijulikani kwa mwendo wanaokwenda nao itawachukua muda gani.Tutafika tu kwenye nchi ya ahadi....Mungu ni mwema
Usikute wanataka kumnyoosha soon before 2025 kwahiyo wanaanza kumuelekeza kibra mapemaaaaaaa.Sijui kadanganywa na nani kutoa kauli ile
Haya ni matokeo ya watu kupata uongozi bila kuandaliwa wala wao wenyewe kujiandaa.
Na tusipoliangalia hili, tutapata matatizo zaidi huko mbele.
Na mimi nimefikiri pia na hiloIla aangalie sana zisijekuwa mbio za sakafuni tu, kuna jitu lilitaka litawale kwa miaka 20.
Nimekumbuka movie ya Bruce AlmightyShe is acting like a silly little girl.
Nani waliopanga na kutekeleza njama za kuvamia ofisi za Fatma Karume???Lakini watu hawatakagi kusikia ukweli, so wanapanick,, lakini huo ndo ukweli,, kila mtu anajua TLS ilikuwa inafanya harakati za kisiasa,,
TLS ikishindwa kuikosoa na kumpambana na Serikali inayo:Duh...!, kwa kauli kama hizi, kiukweli kabisa kuna vitu, ili twende salama, Mama lazima asaidiwe, kwa kuelimishwa kuwa ushirikishwa sio hisani...
This woman doesnt get it!The law society and the community at large,I'd not here to please her and her government!,we are here to poke holes in every thing they do,we are the watch dogs,we don't work for her!!she works for us,wananchi!!our task is to bring all the dirt up!to shine light on their deeds!Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake...
Naunga mkono hoja, ila ni iwapo atagombea!. Anayeamua kuwa atagombea ni mtu, yeye, na ni watu, sisi, chama CCM na Watanzania, lakini anayewezesha fulani kugombea, sii yeye, sio sisi, sio chama CCM na wala sio Watanzania, ni mamlaka nyingine!.Mama yuko sahihi. Hata kwenye maisha ya kawaida tunawashirikisha mambo yetu wale wanaoonyesha sapoti. 2025 Mama atashinda kwa kishindo. Ushindi wa kimbunga.
Bora,Kwa leo naishia hapa
Matusi tena.......?At least utamtukana utaenda kulala bila wasiwasi....