Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Humu ndani watu wanachuki sana. Yaani jinsi wanavyotafsiri ni tofauti kabisa na ilivyo tamkwa.
 
Huyu maza anazidi kuharibu. Angekuwa anakaa kimya. Nani asupport mgao wa umeme na zuio la kufanya siasa.
Aacha roho mbaya bwege wewe. Utakufa kwa roho mbaya k...ma wewe.
 
Hili linazidi kuonyesha namna wapinzani walivyo wachochezi. Kilichoxungumzwa na namna kilivyo zungumzwa ni tofauti kabisa na mnavyokileta. Wekeni uchochezi pembeni tujenge nchi

Mama ndio mchochezi, hapendi challenge. Na ni mbaya kuliko mwendazake.
 
Oya sisi hatutaki hata kusikia huyo maza anasema nini. Usiwe unatupostia utumbo wake
Kamsikilize mama yako humu unafanya nini? Huyo ndio raisi wako hutaki hama nchi. Umejaza chuki na roho mbaya tu.
 
Aacha roho mbaya bwege wewe. Utakufa kwa roho mbaya k...ma wewe.

Ondoa stress zako za kishetani. Uchawa wako usilete kwangu. Mimi sio mpumbavu Kama wewe. Nimetoa ushauri kwamba Mama akae kimya, kauli zingine zinamuharibia. Chawa umekuja mbio kunitukana ukidhania sifa. Baki na matusi yako ukidhani ni ujanja.
 
Tafsiri ya adui kwake inaweza kuwa tofauti. Maana tafsiri ya adui kwake ni yule anayempinga. Ndio maana mpaka Leo imekuwa ngumu kurudisha mikutano ya hadhara maana Mama anaogopa challenge.
Upinzani na Wanancho sisi sote ni wajinga unaanzaje kusubiri mtawala ndio akuruhusu,Fanya hiyo mikutano watu wapambane na polisi wakufa wave uone kama Mikutano itakataliwa.
 
Mbona huu mfumo unafanya kazi vizuri kwenye baadhi ya nchi zilozostarahabika.
Ghana, Zambia, Malawi, Kenya, South Africa, na Sasa Angola wameamka.

Nadhani shida sio upinzani ni mfumo wa vyama vingi kutokuwa na sheria inayoendana na mazingira yake.

Kwa kiasi fulani wanafanya vizuri. Ukiangalia kwa undani, utaona angalau waliofanikiwa ni wale waliofanya utamadunisho wa mfumo wa vyama vingi. Ambao mfumo mpya ulipitiwa upya kulingana na demokrasia, mila na desturi zao. Lakini kwa wale waliomeza kama dodoki mfumo wa vyama vingi kama ilivyo Washington, London na Paris, wamejikuta katika changamoto kubwa sana za kiutawala na kimfumo. Mpaka wanaona ni mzigo kuwa na mfumo mpya kutoka magharibi.
 
Kwani Fatuma Karume ni mpinzani? Halafu yule hawakilishi wapinzani, anajiwakilisha mwenyewe.

Mbona mmeanza kumkana!? yule si ndo chadema dam dam, kindakindaki. Mpaka mkawa mnamwita shangazi wa chama.
 
Rais asiyejua kuwa kuna sheria na mikataba ya kimataifa ambayo Tanzania imeridhia.

Nadhani Rais aache vitisho, na asidhani hii nchi anaweza kuiendesha kama anavyoendesha familia yake.

Kama serikali inatakiwa itende haki basi itende haki, siyo itafute loophole ya kuizima hiyo haki!
 
Harafu kuna tahira, mmoja mwenye mavuzi ya ulimi. anajitokeza kwenye vyombo vya habari siku hizi kuna democrasia, pumbavu waheed!
 
Mbona mmeanza kumkana!? yule si ndo chadema dam dam, kindakindaki. Mpaka mkawa mnamwita shangazi wa chama.
[/QUOT

Yule ni ACT hajawahi kuwa CHADEMA na hawapendi CHADEMA maana wanasakama mama Samiah.
 
Shida ni kwamba Mbowe alijaribu kule Mwanza akakamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Na akapewa condition ya kuomba msamaha. Unakumbuka akina Zitto na Dunni haji wakiwashutumu CHADEMA kwamba hawataki Mbowe aombe radhi?

Upinzani na Wanancho sisi sote ni wajinga unaanzaje kusubiri mtawala ndio akuruhusu,Fanya hiyo mikutano watu wapambane na polisi wakufa wave uone kama Mikutano itakataliwa.
.
Sawa mkuu
 
Ondoa stress zako za kishetani. Uchawa wako usilete kwangu. Mimi sio mpumbavu Kama wewe. Nimetoa ushauri kwamba Mama akae kimya, kauli zingine zinamuharibia. Chawa umekuja mbio kunitukana ukidhania sifa. Baki na matusi yako ukidhani ni ujanja.
Zinamharibia kwa nani actually?
 
Michango yake haiwezi kuegemea vyama, Kwasababu yeye michango yake lazima iwe na kiharufu Cha udini.

Ni kama Mohamed Said, yeye Hana chama ila ana udini.

Watu wake hawajawahi kukosea.
Ni ukweli ambao wengi hawaujui kuhusu baadhi ya members wa humu,utajiuliza amesema Bwawa la Nyerere why hakusema kusubiri mvua zinyeshe?

Watanzania miaka yote tumezoea kuambiwa ni umeme wa maji hilo bwawa ni la juzi tu na hakuna mwenye matumaini kwamba litatumika hapa kutajwa Nyerere ni chuki walizo nazo hao watu kwa sababu ya title yake kwa taifa na dunia.

Kila inapokuja mada kumuhusu huyu mama utamuelewa vizuri huyo jamaa.
 
Sahihi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…