caine
JF-Expert Member
- Jul 4, 2015
- 576
- 1,315
Humu ndani watu wanachuki sana. Yaani jinsi wanavyotafsiri ni tofauti kabisa na ilivyo tamkwa.Kasema ukikaa ki uadui..sio kila anaepinga adui...sio kila upinzani ni uadui ....adui ni Yule anaepinga kila kitu...mtu analalamika mgao ...akiambiwa tumenunua mitambo ya gesi kuondoa mgao hataki pia ..anataka tusubiri bwawa la Nyerere...sasa watu Aina hiyo ni wazalendo au wanafiki