Bepari2020
JF-Expert Member
- Nov 7, 2020
- 2,072
- 2,453
Lawama mtupie Nyerere aliyejenga mfumo mbovuKila akifungua mdomo namna hii anajianika ujinga wake.
Omba radhi haraka sana mpwito mkubwa. Lazima tuwe wazalendo. Haiwezekani uwe unahujumu nchi tunakuachia achiaUzalendo ni nini?
Uzalendo ni nini?
Wataalam ndiyo injini ya kuleta maendeleo katika nchi.Sisi ndio uelewa wetu mdogo Rais anaongelea vyama vya kitaalamu hajaongelea vyama vya siasa kama unataka siasa unaingia katika siasa sio kujificha kwenye vyama vya kitaaluma nakufanya harakati. Adui yangu nimshirikishe kwa lipi? aje aharibu apinge kama mpinzani sio kujifanya chama cha wanasheria kama kina Lissu walivyoingia mle kuleta siasa.
Nani mwanamke msomi!!???Ukisoma maneno haya hutaamin kama yanatoka kwa mwanamke msomi.
Uzalendo ni nini?Omba radhi haraka sana mpwito mkubwa. Lazima tuwe wazalendo. Haiwezekani uwe unahujumu nchi tunakuachia achia
You are a troll.Uzalendo ni fikra mbovu alizotuachia Nyerere
Fact...Oya sisi hatutaki hata kusikia huyo maza anasema nini. Usiwe unatupostia utumbo wake
You are a troll.
Straight to ignore list.
Kuanzia hapa sitaona posts zako zote.
Mama anataka wanaomsapoti kwenye Mbio zake za Urais 2025 tu.Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Arusha amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.
Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.
Naunga Mkono Hoja hahahaOya sisi hatutaki hata kusikia huyo maza anasema nini. Usiwe unatupostia utumbo wake
Hata mimi nimeshangaa anataka wamsapoti kwenye niniHuyu maza anazidi kuharibu. Angekuwa anakaa kimya. Nani asupport mgao wa umeme na zuio la kufanya siasa.
Mama anataka wanaomsapoti kwenye Mbio zake za Urais 2025 tu.
Nje ya hapo hakuna.
Ni lini Ccm au viongozi wake walishamshilikirisha mtu mwingine kwenye mambo yake?
Rais Samia awe mwazi asizunguke zunguke mbuyu.
Inaonekana Mbio za Urais zinamtesa sana.
Kwani Mama kasema anataka wamsapoti kwenye nini?Kasema ukikaa ki uadui..sio kila anaepinga adui...sio kila upinzani ni uadui ....adui ni Yule anaepinga kila kitu...mtu analalamika mgao ...akiambiwa tumenunua mitambo ya gesi kuondoa mgao hataki pia ..anataka tusubiri bwawa la Nyerere...sasa watu Aina hiyo ni wazalendo au wanafiki
Duh...!, kwa kauli kama hizi, kiukweli kabisa kuna vitu, ili twende salama, Mama lazima asaidiwe, kwa kuelimishwa kuwa ushirikishwa sio hisani, sio favor, sio option, sio choice, ushirikishwaji ni haki, duty and responsibility, yaani ni wajibu!, kama ulivyo utii kwa mamlaka!. Unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua majirani, ukiisha jikuta unaishi na jirani fulani, ni lazima ushirikiane nae ndipo muishi vizuri.Rais Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Arusha amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake