Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaenda kiserikali na inatangazwa,, hawa wanaenda kiuficho na kinachofuatwa hakielezwi bayana,, wakirudi wanarudi na madolali na wanaanza mizunguko,, unajiuliza hawa wazungu wanawapa hawa pesa kwa mkataba upi hasa..Sio kweli.....na viongozi wa Ccm wanapoenda huko Ulaya au China huwa wanafunzwa nini ?.....
Uongo mtupu....wewe unafahamu wanaoifadhili Ccm ni kina nani na huwa wanafanya hayo ili wapate nini?Wanaenda kiserikali na inatangazwa,, hawa wanaenda kiuficho na kinachofuatwa hakielezwi bayana,, wakirudi wanarudi na madolali na wanaanza mizunguko,, unajiuliza hawa wazungu wanawapa hawa pesa kwa mkataba upi hasa..
Hii ndo maana jpm aliweka ngumu watu kuingiza fedha toka nje bila mpango,, maana hatujui hizo hela wanapewa ili wafanyaje kwa usalama wa nchi
Zinamharibia kwa nani actually?
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.
Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.
Kwahiyo ngoma draw siyo,, tubaki sasa kuo yeshana misuli eeh? 😂,Tuone mfadhili yupi ana nguvu, isokay🤷🏼♀️Uongo mtupu....wewe unafahamu wanaoifadhili Ccm ni kina nani na huwa wanafanya hayo ili wapate nini?
Jidanganye...Wananchi ndio wafadhili wa ccm,, ruzuku ya ccm ni kubwa,, ccm ina vitega uchumi na utajiri wa watu,, hawahitaji hela mfadhili kuendesha chama chao,, wafadhili wengine masharti yao magumu mfano kulazimisha mapenzi ya jinsia moja,
😁😁,Sikuhizi sibishani sana kama enzi zile za ujana 2011,, mda utaamua🤷♂️unaweza mtu ukapoteza mda wakati wengine hapa wako kikazi zaidi,, tukutane 2025🤗Jidanganye...
Una uhakika utakuwepo?..😁😁,Sikuhizi sibishani sana kama enzi zile za ujana 2011,, mda utaamua🤷♂️unaweza mtu ukapoteza mda wakati wengine hapa wako kikazi zaidi,, tukutane 2025🤗
Wanaenda kiserikali na inatangazwa,, hawa wanaenda kiuficho na kinachofuatwa hakielezwi bayana,, wakirudi wanarudi na madolali na wanaanza mizunguko,, unajiuliza hawa wazungu wanawapa hawa pesa kwa mkataba upi hasa..
Hii ndo maana jpm aliweka ngumu watu kuingiza fedha toka nje bila mpango,, maana hatujui hizo hela wanapewa ili wafanyaje kwa usalama wa nchi
sasa kuna umuhimu gani wa kuwa navyo? kazi ya vyama vya upinzani ni ipo? ok sawa ndiyo maana tulipendekeza vifutwe turudi kwenye chama kimoja yaani woote nchi nzima tuwe tunakubaliana na mawazo ya upande mmoja ili tusonge mbele if that is the case.Ni jambo jema
Ndio sababu tunasema Vyama vya Upinzani vya Tanzania ni lazima visupport Serikali vinginevyo vinawekwa pembeni!
Kwahiyo ngoma draw siyo,, tubaki sasa kuo yeshana misuli eeh? 😂,Tuone mfadhili yupi ana nguvu, isokay🤷🏼♀️
Wananchi ndio wafadhili wa ccm,, ruzuku ya ccm ni kubwa,, ccm ina vitega uchumi na utajiri wa watu,, hawahitaji hela mfadhili kuendesha chama chao,, wafadhili wengine masharti yao magumu mfano kulazimisha mapenzi ya jinsia moja, etc
Bado hamjamchukia tu ila mkishaanza kumchukia hayo ya kuteka na kupoteza watu yatakuwepo tu.Tayari Mama tozo nae kishakua kama jiwe kasoro kuteka na kupoteza watu ndio hajafikia.
Kujinufaisha kivipi labda?CCM wanatumia dola kujinufaisha. Huwezi kutenganisha CCM na Dola. Huo ndio ukweli.
Kawa mkweli kwa hao anaozungumza nao kuliko kufanya ukatili wa chini chini.Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.
Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.
Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.
Hmmh hivi kumbe huyu mama yenu ni msomi? Usomi huo aliutoa wapi? Huyu si alikuwa secretary tu kwenye maofisi ya serikali (msambaza chai), sema ndohivyo bahati imemuangukia.Ukisoma maneno haya hutaamin kama yanatoka kwa mwanamke msomi.