Rais Samia: Nikijua wewe ni dhidi yangu(Serikali) siwezi kukushirikisha. Utatumia sheria zote za Kimataifa, nitatumia za ndani kuku-bar

Yule si ndo na akina tundu, yule kule mwingine kule marekan walikuwa wakimnanga JPM utafikiri alikula mali zao za urithi. Lkn sasa hawana la kufanya, kumbe jamaa ndiye aliyekuwa anawapa airtime. Kwa hili mama Samia nampa heko, anawaangalia tu wapinzani, imefikia hatua utafikiri hawapo. Mbinu nzuri sana hiyo.
 
Sio kweli.....na viongozi wa Ccm wanapoenda huko Ulaya au China huwa wanafunzwa nini ?.....
Wanaenda kiserikali na inatangazwa,, hawa wanaenda kiuficho na kinachofuatwa hakielezwi bayana,, wakirudi wanarudi na madolali na wanaanza mizunguko,, unajiuliza hawa wazungu wanawapa hawa pesa kwa mkataba upi hasa..
Hii ndo maana jpm aliweka ngumu watu kuingiza fedha toka nje bila mpango,, maana hatujui hizo hela wanapewa ili wafanyaje kwa usalama wa nchi
 
Uongo mtupu....wewe unafahamu wanaoifadhili Ccm ni kina nani na huwa wanafanya hayo ili wapate nini?
 
Alipokuwa Lindi Zitto alisema Waziri mkuu anatisha watu kauli ambayo haikuwa na uthibitisho wowote lakin kauli iliyotolewa mchana kweupe anajitia kama hajaisikia.
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake

Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.

Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.

Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.

Uongo mtupu....wewe unafahamu wanaoifadhili Ccm ni kina nani na huwa wanafanya hayo ili wapate nini?
Kwahiyo ngoma draw siyo,, tubaki sasa kuo yeshana misuli eeh? 😂,Tuone mfadhili yupi ana nguvu, isokay🤷🏼‍♀️
Wananchi ndio wafadhili wa ccm,, ruzuku ya ccm ni kubwa,, ccm ina vitega uchumi na utajiri wa watu,, hawahitaji hela mfadhili kuendesha chama chao,, wafadhili wengine masharti yao magumu mfano kulazimisha mapenzi ya jinsia moja, etc
 
Wananchi ndio wafadhili wa ccm,, ruzuku ya ccm ni kubwa,, ccm ina vitega uchumi na utajiri wa watu,, hawahitaji hela mfadhili kuendesha chama chao,, wafadhili wengine masharti yao magumu mfano kulazimisha mapenzi ya jinsia moja,
Jidanganye...
 
Jidanganye...
😁😁,Sikuhizi sibishani sana kama enzi zile za ujana 2011,, mda utaamua🤷‍♂️unaweza mtu ukapoteza mda wakati wengine hapa wako kikazi zaidi,, tukutane 2025🤗
 
Una uhakika utakuwepo?..

Kuhusu Ccm kushinda 2025 haishangazi maana hawajawahi kushindwa toka chama hicho kimeasisiwa.
 
Wanaenda kiserikali na inatangazwa,, hawa wanaenda kiuficho na kinachofuatwa hakielezwi bayana,, wakirudi wanarudi na madolali na wanaanza mizunguko,, unajiuliza hawa wazungu wanawapa hawa pesa kwa mkataba upi hasa..
Hii ndo maana jpm aliweka ngumu watu kuingiza fedha toka nje bila mpango,, maana hatujui hizo hela wanapewa ili wafanyaje kwa usalama wa nchi

Kama wameenda kificho wewe umejuaje wameenda?. Ulaya wakitoa misaada kwa serikali hakuna shida ila ulaya wakitoa msaada kwa upinzani Ni shida. Tatizo ni kutokuwa secured kwa serikali.
 
Ni jambo jema

Ndio sababu tunasema Vyama vya Upinzani vya Tanzania ni lazima visupport Serikali vinginevyo vinawekwa pembeni!
sasa kuna umuhimu gani wa kuwa navyo? kazi ya vyama vya upinzani ni ipo? ok sawa ndiyo maana tulipendekeza vifutwe turudi kwenye chama kimoja yaani woote nchi nzima tuwe tunakubaliana na mawazo ya upande mmoja ili tusonge mbele if that is the case.
 
Kwahiyo ngoma draw siyo,, tubaki sasa kuo yeshana misuli eeh? 😂,Tuone mfadhili yupi ana nguvu, isokay🤷🏼‍♀️
Wananchi ndio wafadhili wa ccm,, ruzuku ya ccm ni kubwa,, ccm ina vitega uchumi na utajiri wa watu,, hawahitaji hela mfadhili kuendesha chama chao,, wafadhili wengine masharti yao magumu mfano kulazimisha mapenzi ya jinsia moja, etc

CCM wanatumia dola kujinufaisha. Huwezi kutenganisha CCM na Dola. Huo ndio ukweli.
 
Pole pole alionesha ushirikiano gani hadi akampa ubalozi?
 
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake

Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking ilikuwa siyo chama cha Wanasheria, kilikuwa chama cha Wanaharakati na mapambano yao yalikuwa ni dhidi ya Serikali.

Sasa mimi nikijua wewe ni dhidi yangu nitakushirikishaje? Siwezi kukushirikisha, si ndiyo! Mpaka unioneshe kwamba am here to support you, I'm here to serve a country, I'm here kuonesha ujuzi wangu kwa nchi yangu.

Nikikuona una sura hiyo nitakushirikisha, nikikuona una sura ya uadui nami sitaweza kukushirikisha. Utatumia Sheria zote za Kimataifa, zoooote na mimi nitatumia zangu za ndani ya nchi kuku-bar usishiriki kwangu.

Kawa mkweli kwa hao anaozungumza nao kuliko kufanya ukatili wa chini chini.
 
Ukisoma maneno haya hutaamin kama yanatoka kwa mwanamke msomi.
Hmmh hivi kumbe huyu mama yenu ni msomi? Usomi huo aliutoa wapi? Huyu si alikuwa secretary tu kwenye maofisi ya serikali (msambaza chai), sema ndohivyo bahati imemuangukia.

Leta education background yake inayoonyesha kuwa ni msomi.
 
Back
Top Bottom