Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Hapana hii serikali haikubaliki kwasasa labda abadilike.Sio watanzania ni wavumilivu.Watanzania tunaikubali serekali yetu,inafanyakazi vizuri sana,ndio ukaona wananchi tunaiunga mkono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hii serikali haikubaliki kwasasa labda abadilike.Sio watanzania ni wavumilivu.Watanzania tunaikubali serekali yetu,inafanyakazi vizuri sana,ndio ukaona wananchi tunaiunga mkono.
Uzuri hajamtaja mtu,hilo ni jiwe gizani.Kwa hili Masoud lazima atatengenezwa kesi ya ugaidi kwa sababu amepiga kwenye mshono. Yaani mama anatembea kwenye daraja lege lege la kamba(utawala dhaifu), amevaa mchuchumio (hatari ya kuanguka ni kubwa), hana kichwa (hajui chochote), na kichwa kimewekwa kwenye mkoba (akili zote anategemea kutoka Oman).
Muwekezaji gani kaja?Yeye kasafiri na kawavitia na mumewaona sasa wewe hapo unasemaje?
Ni wewe na wenzako wawili watatu.Lakini 99.9% tunaiunga mkono serekali,wananchi tunafanyakazi zetu kwa uhuru mkubwa.Hapana hii serikali haikubaliki kwasasa labda abadilike.
Wewe pia watakuwa uwe mwekezaji,acha kulalamika lamika,tafuta mtaji,uwe mwekezaji.Muwekezaji gani kaja?
Sawa, fanyeni kazi kwa uhuru mkubwa.Ni wewe na wenzako wawili watatu.Lakini 99.9% tunaiunga mkono serekali,wananchi tunafanyakazi zetu kwa uhuru mkubwa.
Njia ya muongo fupi,baada ya miaka yake 4 ndo tutajua ziara hiza zilileta watalii au mama alikuwa akila Bata Kama mzee wa Msoga.Yaani upo sahihi kabisa anatafuta visingizo na wakati kuna mabalozi
Tanzania kuwa nyuma kama unavyojitetea hapa ni kutokana na Upumbavu na Uzembe wa nani?Nafasi ya Tanzania pamoja na fursa zake kiuchumi na kiuwekezaji huwezi fananisha na Mataifa uliyoyataja!
Tanzania tuko nyuma kimaendeleo kwa sababu nyingi moja wapo ni kutojitangaza na kuji brand vizuri. Huwezivkujibrand na kujitangaza ukiwa ndani. Lazima utoke nje. Mama Samia yuko sahihi
Na 'Wanabaiolojia' wanasema akitokea pia amemaliza 'Pensheni' yake ya Monthly Payment ( MP ) ndiyo huwa na 'Mapungufu' zaidi.Nimefundishwa tangu utoto kutomlaumu mwanamke kwani uwezo wake wa kuona ni mita 100 tu,zaidi ya hapo machozi hutoka.
Puyanga tu mama we kosa huna
Hata Mimi nimeshangaa kweli tu Mkuu.Unaitangazia dunia kuwa nchini kwako kuna magaidi unategemea kupata wawekezaji wa maana kweli?
Haikubaliki na nani? Ibadilike iwaje?Hapana hii serikali haikubaliki kwasasa labda abadilike.
Kama anatumia nauli na tunaona manufaa shida yako nini? Hata salary na posho vyote ni Kodi yako kwa hiyo unatakaje?Wewe hujui kama nauli ni zetu kupitia kulipa kwetu kodi?
Kama hili hujui basi wewe ni juha namba moja
Umekumbuka Kunywa leo Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao na Uliorithishwa kutoka katika Koo zako zote Mbili?Kumbe na wewe timu pinga pinga Hoya nchi ajapewa mshamba kama ile awamu iliyopita nchi sasa hipo kwa wanao jielewa sio washamba wa madaraka na hata safari ( hata wewe mwenyewe umetoka kwenu kijijini umekuja mjini lengo upate maisha bora )
ANAEMPINGA MAMA APIMWE AKILI Kwanza
Yeye ambae hakujizuzua alifanya nini cha maana kwenye uchumi zaidi ya watu kuvaa nguo za viraka na kupanga foleni kupata huduma?Mwalim Nyerere anasema ni kujizuzua tuView attachment 2035457
Kama kuna 'post' ambayo nimeipenda na imesema Uhalisia mzima kwa kilichotokea na kinachoendelea ni hii yako Mkuu.Tulipigwa.Chanzo cha matatizo yote haya ni mzee wa Msoga kumteua hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato.Mzee wa Msoga is the cursed creature!
View attachment 2035453
kwanini waziri asifanye hyo kazi ww ukatulia ikulu kujenga na kutatua kero za wananchi we mama jmn...."Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.
Chanzo: Radio One Nipashe Leo
Mlioko Rwanda, Ethiopia, Misri, Afrika Kusini, Kenya, Morocco na Botswana je, na Wao huko kwa idadi Kubwa ya Wawekezaji ( mpaka Watalii ) walioko na wanaoendelea Kufurika huko ni kutokana na Marais wao 'Kutalii' Ulaya, Marekani, Asia na Mashariki ya Kati Kuwatafuta?
Na je, kama Kazi ya Rais wa Tanzania ni Kusafiri sana Nje ya nchi ili kuwavutia Wawekezaji waje Tanzania nini Kazi ( Jukumu Mama ) la Mabalozi wetu walioko huko na Waziri wa Mambo ya Nje?
Mwisho kabisa GENTAMYCINE nauliza hivi Wawekezaji wanakuja nchini kutokana na Mazingira Rafiki ya Uwekezaji na Biashara ambayo huwa yanajitangaza tu yenyewe kutokana na Historia ya nchi husika Kisiasa na Kidemokrasia au yanamtaka Rais aanze 'Kuzunguka' kuwafuata?
Hata hivyo sishangai sana kama Mshauri Mkuu alikuwa Kinara wa Kukesha Angani huku akilala na kuamkia huko 'Majuu' kwanini na anayemshauri nae 'asiambukizwe' Utamaduni huo ambao kwa Wataalam wa Uchumi wanasema unaitia Hasara nchi / Serikali kwa Kugharamia 'Delegation' yake nzima.
Sijui na Mimi kwa Kusema na Kuhoji hili nitajumuishwa katika kile alichokiita Kikosi Maalum na cha Kimkakati cha Kumkwamisha na Kumuharibia alichokitaja huku akiwa amekasirika sana Juzi kule Mbagala.
Ewe Mwenyezi Mungu usiniache Baba!!