Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Rais Samia: Nitaendelea kuzunguka kuwaambia wawekezaji waje Tanzania

Kwa hili Masoud lazima atatengenezwa kesi ya ugaidi kwa sababu amepiga kwenye mshono. Yaani mama anatembea kwenye daraja lege lege la kamba(utawala dhaifu), amevaa mchuchumio (hatari ya kuanguka ni kubwa), hana kichwa (hajui chochote), na kichwa kimewekwa kwenye mkoba (akili zote anategemea kutoka Oman).
Uzuri hajamtaja mtu,hilo ni jiwe gizani.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Muwekezaji gani kaja?
Unaishi Somaliland au?

Screenshot_20211207-101542.png


Screenshot_20211207-101613.png


Screenshot_20211207-101857.png


Screenshot_20211119-082914.png
 
Nafasi ya Tanzania pamoja na fursa zake kiuchumi na kiuwekezaji huwezi fananisha na Mataifa uliyoyataja!

Tanzania tuko nyuma kimaendeleo kwa sababu nyingi moja wapo ni kutojitangaza na kuji brand vizuri. Huwezivkujibrand na kujitangaza ukiwa ndani. Lazima utoke nje. Mama Samia yuko sahihi
Tanzania kuwa nyuma kama unavyojitetea hapa ni kutokana na Upumbavu na Uzembe wa nani?
 
Nimefundishwa tangu utoto kutomlaumu mwanamke kwani uwezo wake wa kuona ni mita 100 tu,zaidi ya hapo machozi hutoka.

Puyanga tu mama we kosa huna
Na 'Wanabaiolojia' wanasema akitokea pia amemaliza 'Pensheni' yake ya Monthly Payment ( MP ) ndiyo huwa na 'Mapungufu' zaidi.
 
Kumbe na wewe timu pinga pinga Hoya nchi ajapewa mshamba kama ile awamu iliyopita nchi sasa hipo kwa wanao jielewa sio washamba wa madaraka na hata safari ( hata wewe mwenyewe umetoka kwenu kijijini umekuja mjini lengo upate maisha bora )
ANAEMPINGA MAMA APIMWE AKILI Kwanza
Umekumbuka Kunywa leo Kidonge chako cha Ugonjwa wa Akili ulionao na Uliorithishwa kutoka katika Koo zako zote Mbili?
 
Tulipigwa.Chanzo cha matatizo yote haya ni mzee wa Msoga kumteua hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato.Mzee wa Msoga is the cursed creature!
View attachment 2035453
Kama kuna 'post' ambayo nimeipenda na imesema Uhalisia mzima kwa kilichotokea na kinachoendelea ni hii yako Mkuu.

Umemaliza kila Kitu na hii ndiyo 'post' yangu bora katika huu Uzi wangu. Wenye Akili Kubwa na kujua Mambo mengi tu yaliyojificha hapa tumekuelewa vyema.
 
"Ninalazimika Kusafiri nje ya nchi na Nitasafiri mno tu ili Kuwavutia zaidi Wawekezaji na kamwe sitokaa tu Ikulu ya Chamwino na Magogoni Kisha Watu wengine wanawadanganya Wawekezaji kuhusu Tanzania na tunawakosa kisha nchi yetu inazidi Kuanguka Kiuchumi" Rais Samia jana Kigamboni.

Chanzo: Radio One Nipashe Leo

Mlioko Rwanda, Ethiopia, Misri, Afrika Kusini, Kenya, Morocco na Botswana je, na Wao huko kwa idadi Kubwa ya Wawekezaji ( mpaka Watalii ) walioko na wanaoendelea Kufurika huko ni kutokana na Marais wao 'Kutalii' Ulaya, Marekani, Asia na Mashariki ya Kati Kuwatafuta?

Na je, kama Kazi ya Rais wa Tanzania ni Kusafiri sana Nje ya nchi ili kuwavutia Wawekezaji waje Tanzania nini Kazi ( Jukumu Mama ) la Mabalozi wetu walioko huko na Waziri wa Mambo ya Nje?

Mwisho kabisa GENTAMYCINE nauliza hivi Wawekezaji wanakuja nchini kutokana na Mazingira Rafiki ya Uwekezaji na Biashara ambayo huwa yanajitangaza tu yenyewe kutokana na Historia ya nchi husika Kisiasa na Kidemokrasia au yanamtaka Rais aanze 'Kuzunguka' kuwafuata?

Hata hivyo sishangai sana kama Mshauri Mkuu alikuwa Kinara wa Kukesha Angani huku akilala na kuamkia huko 'Majuu' kwanini na anayemshauri nae 'asiambukizwe' Utamaduni huo ambao kwa Wataalam wa Uchumi wanasema unaitia Hasara nchi / Serikali kwa Kugharamia 'Delegation' yake nzima.

Sijui na Mimi kwa Kusema na Kuhoji hili nitajumuishwa katika kile alichokiita Kikosi Maalum na cha Kimkakati cha Kumkwamisha na Kumuharibia alichokitaja huku akiwa amekasirika sana Juzi kule Mbagala.

Ewe Mwenyezi Mungu usiniache Baba!!
kwanini waziri asifanye hyo kazi ww ukatulia ikulu kujenga na kutatua kero za wananchi we mama jmn....
 
Sawa Mh. Rais ni sawa, ila tunaomba usafiri na watu wachache - pamoja na ulinzi wako na wasaidizi basi walau wasizidi 7, maana unaweza kwenda kuomba mil 2 wakati safari nzima umetumia mil 6.
 
Back
Top Bottom