Rais Samia piga kazi usihangaike na siasa zao chafu zenye nia mbaya

Mwacheni mama pige kazi.
 
Yes!
Ila ushauri ni lazima, akijiendea tu atakuwa kamakipofu anayelihisi jua lakini halioni.
 
Mungu aliyempa huu uongozi ndiye atakaye mlinda na fitina zote mpaka muda wake utakapo kwisha.
Mwanadamu hana nguvu yoyote dhidi ya Muumba Mbingu na Ardhi.
Mungu yupo alimpa uongozi kama sio KATIBA mbovu na WA vitengo!!
 
Hayo maswali alipaswa kuyajibu mtoa kauli ambaye kwa sasa hawezi kuyajibu tena kwa kuwa ni marehemu tayari.
Lakini sasa hakuna anachopangiwa mkulima katika bei.Wamebaki watu wavivu,wabinafsi na wapenda vya bure wakitoa mayowe.Lakini mkulima anapiga pesa.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mimi namuunga mkono Samia anadhamira nzuri, nikiona ameingiwa na Ganzi nitamkumbusha kwa staha.
 
Ndugu kweli unaweza kusema Mh. Rais kushindwa kuwawajibisha viongozi/watumishi wafujaji wa hela za umma ni "shortcomings ndogo ndogo"!!???

Nini maana ya kuwa Rais kama huwezi kuona upuuzi unaoendelea na kuchukua hatua stahiki kwa wakati!!!???
Hajawahi shindwa Mzee,mara ngapi??unasikia watu wakipelekwa mahakamani?
 
Samia akisumbuliwa sana na S gang ajiuzulu tu aitishe Uchaguzi mkuu tumpe kura za Upinzani ili tuunde serikali ya mseto.
 
Nani atatufusha sas ikiwa mama anapigwavitina magufuli nae hvyo hvyo Nani atatufusha sisi
 
Tatizo mpiga kazi hamna. Hajui afanye Nini.
 
Samia akisumbuliwa sana na S gang ajiuzulu tu aitishe Uchaguzi mkuu tumpe kura za Upinzani ili tuunde serikali ya mseto.
Ajiuzulu hata kesho asubuhi huyo bibi, sijui anasubiri nini
 
Porojo hizi
 
Kuna kakikundi ka kumchafua mama ndani ya ccm awe makini sana. Watanzania hamueleweki mnataka nini.
 
Tatizo mpiga kazi hamna. Hajui afanye Nini.
Angekuwa hajui kazi asingekwenda China na kuongea na rais wao kisha wakapanga mipango mikubwa ya kimaendeleo.

JPM hakutoka nje ya afrika aliishia Addis Ababa tu kwa miaka yote mitano ya urais wake. SSH ameshakwenda nchi nyeti kiuchumi na kupanga mipango mikubwa ya kimaendeleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…