Rais Samia piga kazi usihangaike na siasa zao chafu zenye nia mbaya

Rais Samia piga kazi usihangaike na siasa zao chafu zenye nia mbaya

Na wewe nitajie wa 2 tuu waliopelekwa mahakama ya mafisadi wakatiwa hatiani na awamu ya 5..

Nyangumi watoke wapi sasa wakati ufisadi mkubwa umefanyika awamu zilizopita?
Tukubaliane kitu kimoja ndugu The Sunk Cost Fallacy .

Serikali ya awamu ya 2 mpaka hii haijawahi shughulikia mapapa wa ufisadi.

Kwa ujumla na kiukweli serikali ya CCM haijawahi kushughulikia mafisadi wa aina yoyote zaidi ya wezi wa kuku sababu wote ni wamoja.
 
Back
Top Bottom