Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

[emoji1787]
 
Kila kiongozi anakuwa na leadership style yake. Kukutana na vyama vya upinzani sio jambo kwamba ni la lazima Rais aliyepo madarakani alifanye.


Mzee Kikwete alikutana mara kadhaa na vyama vya siasa hakuhitaji hayo yako.
Juu ya yote hayo alichoambulia ni matusi tu kutoka kwenu. Hakukuwa na tija yoyote zaidi ya hao wapinzani kwenda kuongeza bill ya ikulu tu kwa kunywa chai na sambusa za bure.
 
Wa-Tanganyika wenzangu, kumbukeni kwamba nchi yetu kwa sasa iko chini ya Mtawala ambaye ni TX (Tanzania Expatriate) kutoka kule ni " Nchi ama si nchi". Iko hivi hana uchungu na nyinyi. Malalamiko yenu na shida zenu hazimnyimi yeye usingizi wala siyo vipaumbele vyake kama mnayotaka amielewe. BTW: Haya mambo ya hovyo munayo yaona sasa ni "rasharasha" tu maneno bado. # Mtanikumbuka#
 
Yaani mother hili naliona takataka kabisa! Kulaza mimacho tu utafikri limewekewamo!
Hii sio sawa mdau.
Mama Samia ni raisi wa nchi yetu.
Ni binadamu na mama wa familia.
Na kwa umri wake anaweza kuwa mama kwa wengi wetu humu.
Si vizuri kumkosoa kwa udhalilishaji namna hii.
Hakuna ambaye atapenda kuona mzazi wake anasemwa hivi mitandaoni.
Kama binadamu mwengine naye ana makosa na udhaifu pia.
Tumkosoe kwa staha.
 
Anatudharau sana ss mabosi zake anajua hata tukipga kura kwingine atashinda coz plc wapo kumuhkikishia hilo
 
Hakuna rais hapo.. ktk jambo ambalo kanikera ni hili swala la Tozo, amefaafanya biashara imekuwa ngumu sana shambani hakuna Bank tunawatumia wakulima Pesa kupitia Mpesa anaweka makato makubwa kias hiki kweli?

Juzi nimeskia et anasema watanzania wamekubali hizi ni watanzania wa wapi hao waliokubali?
Me siipend chadema lkn 2025 nitahakikisha naipigia kura chadema kuondoa watawala wapuuzi..tumechoka sasa maana wanataka kujifanya hii nchi ni Yao peke yao yaan wanafanya maamuzi ya kijinga kutuumiza sisi
 
Duh,kweli kuwa kiongozi Tanzania ni kijitwika zigo la misumari
Hakuna nchi rahisi kuiongoza kama Tz. Wananchi wake ule sio uelewa wala upole ni ujinga. Kiongozi yoyote anaweza akaibuka tu kutoa tamko la ovyo makusudi kuwakera wananchi.

Mtu anakuambia kama unabisha hamia Burundi,na bado tukakaa kimya,kiongozi ongea kama hivyo kenya kama kweli utaamkia kwenye hicho kiti unachojivunia kama umezaliwa nacho.

Tatizo Tz liko kwa viongozi,hawako tayari kukubalina na mawazo ya wananchi. Wanataka ya kwao tu,halafu wananufaika nayo wao wachache. Kama tozo za miamala kuna mwananchi gani anataka?. Lakini wao wanaigeuza wanaipigia kampeni kwamba wananchi wanaifurahia. Na bado pamoja na kalazimishwa wananchi wamenyamaza wanaendelea na mambo yao. Bado uone kuna ugumu kuiongoza?
 
If you want to test men's character, give them power.

Sikutegemea huyu Mama abehave namna hii na anavyojifanya mcha 'mungu'...
Ahahahahah maskini ya Mungu eti mcha Mungu, pole sana mshua!

Mark my words, hakuna mtu ndani ya serikali kwa sasa anaroga kama huyu Mmama-period
 
Malalamiko anaita Kelele

Mjadala wa Katiba anaita Chokochoko

Shughuli halali za kisiasa anaita fujo za kisiasa

Huyu ana dharau sana
Kila zama na kitabu chake. Kazi iko palepale. Mlikuwa mnamdharau kuwa yeye ni mwanamke. Na bado mtazidi kuongeza misamiati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…