Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

hata aje malaika
 
Utawala wa marehemu Magufuli, mahali pekee paliponikwaza kupita kiasi ilikuwa ni kuwatumia wasiojulikana kuteka, kuua na kupoteza watu. Na hili la kubambikia watu kesi. Lakini hata Mkapa aliua Zanzibar. Kikwete aliteka na kuua watu, alibambikatu kesi wapinzani pua. Tawala zote zimeiba kura wakati wa uchaguzi. Wanatofautiana katika kiwango tu.

Lakini kwa huyu Mama, huenda ni hasara zaidi katika kila kona. Sioni mwanga. Mafuta yamepanda bei kwenye soko la Dunia, halafu na wewe unaongezea tozo wakati tayari kuna kodi na tozo kwenye hayo hayo mafuta, zaidi ya 10. Sasa, wewe una akili kweli!!

Wananchi wapo taabani kutokana na kuzorota kwa biashara mbalimbali. Mataifa mbalimbali yanatoa nafuu kwenye mambo mbalimbali ili kuwapunguzia ugumu wananchi wao kutokana na athari ya corona, wewe unaenda kuweka tozo mpya kwenye miamala wakati tayari ulikwishaweka VAT, sasa wewe kweli una akili!!

Tuna hasara kubwa.
 
Mkuu kama wananchi ndio wenye mamlaka na mamlaka hutoka kwao- wakishayatoa hayo mamlaka wao wanabaki na mamlaka gani tena?
 
Unamaanisha Lema alikimbia hii kesi? Labda ndo maana hajarudi nyumbani pamoja na kuwa Mwendazake huyupo Tena.
 
Hamia Burundi- na kwa vile unajua kiswahili vizuri huenda ukapata na nafasi ya kufundisha Kiswahili chuo kikuu.
 
Ni dunia nzima. Hakuna kiongozi ambaye hakosolewi. Kama kiongozi sio mvumilivu atapambana na watu badala ya kupambania maendeleo.
Dawa ni kuwapuuza wanaokosoa na kujikita kufanya maendeleo.
Bongo wamejaa watukanaji sio wakosoaji

USSR
 
Kidogo kidogo mtataja mpaka makaburi ya bibi zenu yalipo.

Mmeanza kujifanya mlimuelewa Hayati Magufuli sio?? Nyambaf!
 
Cheo cha makamu wa rais kiondolewe hakina maana yoyote zaidi ya kufuja pesa za umma, waziri mkuu apewe mamlaka kamili ya kuunda na kuongoza serikali, succession plan iwe jaji mkuu au spika wa bunge kukaimu nafasi ya rais na kuitisha uchaguzi ndani ya miezi 6.......haya mambo yanawezekana kwa kukamilisha mchakato wa katiba mpya, ambayo wenyewe wanasema wanajenga uchumi..........alisikika pwagu na pwaguzi mmoja maeneo ya kule feri.
 
Andiko limetulia Sana.

Ungesindikiza la ile memes ya mheshimiwa rais.......

Mheshimiwa rais.......



Tukipata maandiko kama haya 10 tu huyu mama anabadilika niamini Mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…