Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

Nilitarajia makubwa hasa ustawi wa nchi na pia maridhiano ya kitaifa kutoakana na maovu ya mtangulizi wake!
Nilimpenda sana huyu mama SSH kwa namna alivyoanza na niliwatukana sana humu waliojaribu kumpinga!
Ila sasa naanza kusita na kurudi nyuma kumtetea huyu mama na mbele naona giza totoro!
 
Elimu yake ya kuungaunga kama mchopanga,unategemea awe n akili...huyo ni level ya lusinde au msukuma
Suluhu was born on 27 January 1960 in Makunduchi, an old town on Unguja island, in the Sultanate of Zanzibar.[2]

She completed her secondary education in 1977 and began working. Subsequently, she pursued a number of short-courses on a part-time basis.

In 1986, she graduated from the Institute of Development Management (present-day Mzumbe University) with an advanced diploma in public administration.[3]

Between 1992 and 1994, she attended the University of Manchester and earned a postgraduate diploma in economics.[4]

In 2015, she obtained her MSc in Community Economic Development via a joint-programme between the Open University of Tanzania and the Southern New Hampshire University.[3]
 
Hamia Burundi- na kwa vile unajua kiswahili vizuri huenda ukapata na nafasi ya kufundisha Kiswahili chuo kikuu.
Kwa nini usinishauri kuhamia pengine popote? Kama ni lugha, Kiswahili, Kiingereza na spaniola, zote nazimudu. Lakini sijawahi kutegemea utaalam wa lugha to make my living.

Lugha zinanisaidia tu katika kutimiza majukumu yangu kwenye utaalam wangu. Nimeishi mabara yote isipokuwa Asia, lakini Tanzania ni nchi yangu, ni nyumbani pangu. Lazima tuilinde na tuipiganie dhidi ya yeyote mwenye kuififisha.
 
Fungu la kukosa
 
Nimeona kama panakufaa zaidi
 
Ulinzi wa mabomu unampa kiburi sn

Huyu bibi ana kiburi sana cha uzima,Mungu akiamua kuchukua pumzi yake mabomu na risasi havitafaa!

Wapo wanaolindwa mpaka na aliens lakini wanakufa tu.

Kiburi na dharau uwa ni dalili za Low level of IQ.
 
Kila zama na kitabu chake. Kazi iko palepale. Mlikuwa mnamdharau kuwa yeye ni mwanamke. Na bado mtazidi kuongeza misamiati.
Sijawahi kumdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke ila baada ya mahojiano na BBC ndo nimejua kuwa hana uwezo kabisa
 
Kuna Mama mmoja mtu mzima Jana aliniambia kumbe hakujua kama wanawake wakiwa viongozi wanakuwa na roho mbaya namna hio,akatolea mfano Raisi aliposema wananchi wamekubali tozo za miamala wakati si kweli na jinsi macho yalivyokuwa makavu kuzungumzia suala la Mbowe,yeye anasema bora hata asingelizungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…