Rais Samia punguza upendeleo kila kitu kiwe Zanzibar

waacheni nao wazazibari wapumue, mmewanyonya mno toka mwaka 64 wamevumilia tu.
 
Tanganyika ndiyo nini? Mbona haionekani kwenye ramani, haionekani kwenye Atlas, haionekani kwenye Google Maps? Unataka Wazanzibari waombe vibali vya kwenda nchi ambayo haionekani? Machogo mna matatizo sana.
 
Kazi iliyofanywa na Muasisi ishaingia Dosari..., Alilikoroga JPM kwahio haya ndio Matokeo..., Ingawa hio sio excuse ya huyu pia Kuendeleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…