peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Hadi sasa maza hajajua ni akina nani watampigia kura na kwa nini wampigie kura.Huyu kukiwa na tume huru akasimama na Mayele kwenye sanduku la kura Mayele atapata 80% kwa 20%
Hatari snHadi sasa maza hajajua ni akina nani watampigia kura na kwa nini wampigie kura.
Kwa kifupi wanawake hawawezi kumpa kura .
Zanzibar wapiga kura wote ni 500, 000
Tanzania ina wagonjwa wengi wa stress na Husda.
Huyu mleta Uzi kama si Choko basi Mwehu.
Inamuumaje kuona rasi anachacharika huku na kule kuleta maelewano, yeye anaaanz uleta ubaguzi na zwazwa.
Hivi alitaka samia awe anaenda Bukoba kila week endi badala ya kuenda kwao waliko jamaa zake ?
Aualutaka samia ahamishie familia yote Dodoma.
Wazanzibari ni Extended family ,kila siku ya muungu utapatwa na msiba, furaha au Mgonjwa, na kwa utamaduniu wa Zanzibar kila mara huwa tunajuliana hali.
Kama Huyu mtu anaona Kuishi na Wazanzibari ni shida ,basi apeleke hoja binafsi bungeni kusitisa Muungano kwa jibu wa Nyongeza ya Pili ya Katiba.
Hakuna aliyefunga mdomo Kuna nyuzi nyingi Sana jf za kuhoji hizo safar za Jiwe Chato Ila watu kama nyinyi mlim support Jiwe Na Leo pia tunahoji mnam support Hangaya, Embu ifike wakat tujitambue basMwacheni mama, hayati alikua anaapisha viongozi Chato na mlifunga midomo yenu
Lagacy ingekuwa inafufua ningekuelewaHauozi mentally,unaacha legacy inaendelea kuishi, ila ukifa kiboya ata familia yako itasahau kama uliishi.
Majaliwa na Mpango hawajafika huko?. Lawama hizi hizi alikuwa anapewa JPM kwamba hajafika kusini, Rais anayo ratiba ngumu sana.Tangu ateuliwe kupitia katiba ni mwaka mmoja sasa hajawahi kufika mikoa ya kusini mwa Tanzania.
Kule panatawaliwa na Rais wa Msumbiji?
Nadhani utakuwa na tatizo la kiakili..itoshe kusema wewe ni punguani.Tanganyika ndiyo nini? Mbona haionekani kwenye ramani, haionekani kwenye Atlas, haionekani kwenye Google Maps? Unataka Wazanzibari waombe vibali vya kwenda nchi ambayo haionekani? Machogo mna matatizo sana.
Nenda kajenge zenji kama jmt ni moja ndio utajua hujui.sijaona ubaya wowote.jamhur ya muungano wa Tanzania ni moja.ubaya upo wap
Tanganyika iko wapi?Nadhani utakuwa na tatizo la kiakili..itoshe kusema wewe ni punguani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo hakuna Cha kumwamini Wala Nini?Did you ask why watu walikua kimya na kuridhia?
Perhaps watu walimpenda na kumuamin kias cha kutokua na shaka naye... Ila ukiona watu kinawafurukuta rohon.. ujue bas kuna uwalakin.
Hakuna wa kuacha kumchagua Mh Mama Samia Suluhu Hasani 2025 .Tutaondoka mwaka 2025 , hata dini zetu zinatusuta
Wewe una kura ngapi na kutoka wapi?Hakuna wa kuacha kumchagua Mh Mama Samia Suluhu Hasani 2025 .
Ni nchi yenye vichaa tuu ndio ingeweza kuacha fursa kubwa tuliyopewa na Mwenyezi Mungu Kwa kumleta Mama Samia. Mungu atupe Nini Tena.!! Nchi inazidi kuwa na Furaha. Jana siku ya Wanawake nchi ilifana na kugubikwa na Furaha kila Kona ya nchi. Kuanzia Iringa mpaka Zanzibari. Yaani Unaona kabisa watu Wana Furaha Toka moyoni.
Mama Samia Tunamuombea uzima ili 2025 arudi hata kama ni Kwa 52% alimradi uwe ni ushindi wa Haki. Mambo ya kipumbavu yaliyokuwa yanafanya na wezi na waovu wa madaraka ya kihuni kwenye uchafuzi ili TU Rais ashinde Kwa asilimia 80+ hayatusaidii zaidi ya sifa za kijinga.
Mtu anaiba kura ili apate asilimia 90 so what unapata kura nyingi Kwa Rushwa na wizi wa kura na kuua wananchi wako na kubomoa umoja na upendo Kwa wananchi Kwa sababu za kijinga?
Tutamchagua Mama yetu 2025 na atashinda Kwa kura za kutosha kabisa na Kwa haki na Kwa uwazi . Atabaki na kazi ya kutuletea katiba mpya na ikiwezekana tuondoe kipengele Cha ukomo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ili apende asipende awe ni Malkia wa Tanzania Chief Mkuu Hangaya ( Malkia wetu ). Tumechoka kutawaliwa na ma vampire yasiyotenda haki ,Wala utu,Wala huruma aibu.
Kazi iendelee.
Una point nzuri sana jicho la mwewe hiliJambo hilo alipigiwa kelele sana Hayati Magufuli ajabu Samia naye amekuwa na aina ileile ya ufujaji mali za umma kwa safari zisizo na maana yeyote za huko kwao Zanzibar.
Ki hafla kidogo tu tunaendelea kushuhudia hudhurio lake huko!
Tunakoelekea huenda Samia atatumia ndege yetu kubwa kwenda kuhudhuria mchezo wa kuruka dama wa wanawake huko Zanzibar.
Tumseme sasa ili u Zanzibar aachane nao maana dalili zi wazi huyo mama anapenda sana show za huko kwao.
mtoa mada kazingatia hili kwenye ujumbe wake ondoa hamaki take it positiveHayati JPM alikuwa anakwenda Chato kwa nauli yake mwenyewe?.
Apende asipende tutamuongezea Mama Muda na kuondoa ukomo. 2025 ndio anagombea na ni miaka kumi apende asipende mpaka 2035.Usipoangalia mpaka ukifika muda huo utakua unaishi na maumivu iwapo SSH ataendelea kuwa rais mpaka 2030.
Mkuu haya mawazo yako ungeyaanzishia uzi ingependeza sana. Ni ujumbe unaojitosheleza.Apende asipende tutamuongezea Mama Muda na kuondoa ukomo. 2025 ndio anagombea na ni miaka kumi apende asipende mpaka 2035.
Tunataka Kiongozi hatutaki mtawala mama ameonyesha kuwa sisi ni BINADAM waungwana tunahitaji kuongozwa. Mtawala ni Mungu pekee anatawala viumbe vyote. Tumepata Kiongozi Bora kabisa.
Uzanzibari wake hautuhusu sisi tusioendekeza ukabila na Ukanda Wala Udini.
Mama Chapa Kazi. Wengi tunakupenda kutoka Moyoni kabisa bila kupata uteuzi Wala Nini!!
Wanataka kumnyanyapaa Rais wa jinsia ya kike tuliyenaye na yeye keshawashtukia kitambo, anakomaa nao.mtoa mada kazingatia hili kwenye ujumbe wake ondoa hamaki take it positive
Nakuunga mkono sana mkuu lakn pia muhim na fikra zetu kuziokoa tukiwa na akil tena ya pamoja hakuna mtu anaeza kutuonea wala kufanya anachojiskia awe mzawa yey kam kiongoz au mgen kama taifa kubwa kwahiyo tunavyoangalia mabadiliko ya katba muhim kuangalia na mabadiliko ya akili zetu maana sis ndo tunaowalipa viongoz kwan mishahara wanatoa wap wanalipwa na nan kama sio kod zetu bado watuendeshe wanavyota wao wazungu nao waje kutupa masharti ya kijing...Bila mabadiliko makubwa ya Katiba wanasiasa wataendelea kutuchezea.