Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

Uliofail ni wewe na umekata pumzi.Huna unacheolezea.
 
Sasa ndiyo umeandika utumbo gani huu?
Kwa ufupi Mama anaupiga mwingi sana Mitano tena.
 
Tafuta msosi Kwa wanako
 
Tusubiri mvua inyeshe tujue panapovuja
 
Anajua sana, zile ni siasa tu. Ulitaka asemeje ili ujue anajua wakati yeye anataka jambo lake lipite.
 
Watu hawapingi muwekezaji lakini Wana pata mashaka na baadhi ya vipengele vya mkataba, nyie badala ya kujibu hoja zao mna wadhihaki na hapo ndipo mashaka yanapo zidi
 
Mungu wangu! Kumbe mama anajua DPW kapewa bandari moja? Kumbe mama anauza nchi bila kujua.
 
Samia mjinga sana.

Kasaini instruments of full powers kumuidhinisha Waziri Mbarawa wa Tanzani atie saini mkataba kwa niaba ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai.

Huyu rais huwa anasoma anachosaini?
 
Mama mswahili huyu.
Analeta mipasho kwenye mambo serious

Huku bandari gani moja anayoongelea?
Inaonekana alitoa ruhusa ya bandari moja tu wajanja wamekabidhi zote.
Hajui mkataba huyu
 
Watanzania yaani nadharia nyingi ila uhalisia sasa hamna kitu achana na mambo tulipaswa kipi nireality sijui tumerogwa yaani hatuoni ukweli sijui tumelishwa nini yaani sisi wa kushindana na Dubai kwa sasa kwenye utendaji kazi wa bandari kweli kweli hio labda iwe hivi tuwaachie bandari wawekeze halafu tuwanyanganye halafu tushindane nao yaani uwezo wetu wa kusupport bajeti yetu 100% kabisa bila kutegemea popote tu hatujafikia halafu ndio tuanze kuleta umwamba wa kushindana hembu tuwe na uhalisia tuuuvae uhalisia bila foreign direct investment hatuwezi kutoboa we need it ili tuweze kukua lakini pia kuongeza wigo mpana wa masoko toka huko makampuni mageni yalikotoka.
 
Serikali isiwape sikio wanaopiga kelele, wanatucheleweshea maendeleo..tusonge mbele!
 

Kama hujui hata USA wana mkopo mkubwa huko China unafikiri utasaidika vipi?
 
Hii nayo ni akili ya mtu anayejiamini na uchungu na rasimali zake?
 
Daaaah anaongelea hii au ipi? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…