Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Muombe mwarabu ajenge bandari ndogo Gezaulole
Safari hii mmekwisha Watumishi, afadhali Mwendazake alikua anawa tumbua bado mkamuona ni Dikteta! Sasa huyu Mama yeye hata hawawatumbui, yeye anawauuza kabisa mtajuwana na Muwekezaji Kama ataendelea na nyinyi au atawatupa Nje na kuleta watu wake wanaoweza kufanya kazi kwa uffanisi Mkubwa!!
 
Aisee......
 
Himaya ya Mwendazake ni himaya ya kifedhuli mno afadhali hata mkaburu. Mkoloni Mwarabu hata Firauni kuliko yule mtesaji mkumbwa mungu ni mwema wakati wote
 
Ndio sababu zinatolewa na serikali kuwa kuoikua hakuna ufanisi, hivyo wanaongeza ufanisi. Ufanisi ulikua hakuna sababu Kama hizo za uzembe, rushwa
Serikali haiwezi kusema imeajiri wezi kwani kitakuwa kicheko aliekuwa anawasmbia ni wezi alikuwa Mwendazake.
 
Napingana na hii kauli, Serikali za nchi zilizoendelea zinafanya biashara . USA imewapa CIA kibali cha kufanya mpka illegally businesses like cocaine e.t.c sembuse sisi walala hoi
 
Napingana na hii kauli, Serikali za nchi zilizoendelea zinafanya biashara . USA imewapa CIA kibali cha kufanya mpka illegally businesses like cocaine e.t.c sembuse sisi walala hoi
Ushasema "nchi zilizoendelea*", wewe Tanzania ndiyo kwanza nchi ambayo hauwezi kukidhi hata bajeti yako, mtaji uutoe wapi?

Unafahamu maana ya PPP?
 
Ndio sababu zinatolewa na serikali kuwa kuoikua hakuna ufanisi, hivyo wanaongeza ufanisi. Ufanisi ulikua hakuna sababu Kama hizo za uzembe, rushwa
Serikali haiwezi kusema imeajiri wezi kwani kitakuwa kicheko aliekuwa anawasmbia ni wezi alikuwa Mwendazake
 
Yupo superficial sana huyu Rais. Maneno yake anavyoyatamka hayana uzito kabisa na hata body language yake inaonyesha she doesn’t mean what she’s saying. Anaangalia chini muda mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…