FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Mtu akikupiga kidole cha matako halafu ukaendelea kumuheshimu basi atampiga na mkeo dole la makalio.., na ukiendelea hivyo na yeye ataendelea tena, hasara ipo , tena kubwa!!!!Matusi ya gharama zaidi
Staha haina hasara yoyote
Usijidanganye, Wazalendo ndani ya vyombo kwa kushirikiana na umma wenye ghadhabu ukiamua unamchomoa tu. Tena anachomoka hivihivi huku akilia machoziAjali itawaua nyie Samia hakuna cha kumtisha na ni rais mpaka 2030 mnaowaza kumtoa kafanyeni inshu zengine
Kwahiyo mizigo ya kongo ni asilimia ngapi inapita hapo ziwani? , haya na bandari za maziwa ya Chato, Kondoa na Kwingineko, zinahudumia watu wa ngapi, na ya Zenji ni watu wangapi?Si
Siriaz kabisa unauliza bila aibu hili swali? Tanzania zinaingia ngapi ktk Kongo moja?
Tena anauza kwa serikali nyingineWewe mama utukome,ndo uuze Bandari zetu?
Wazalendo gani hao wapuuzi wanaweza kumuondoa mtu anayeweka nchi ktk msitari mnyoofu? Gadhabu za majizi yaliyodumaza bandari ndo watauzidi umma nguvu? Never happen hii nchi iko ktk mikono salama ya Samia hakuna atakayeweza kumtetelesha mama!Usijidanganye, Wazalendo ndani ya vyombo kwa kushirikiana na umma wenye ghadhabu ukiamua unamchomoa tu. Tena anachomoka hivihivi huku akilia machozi
Ndo shangaa sasa ,hajiulizi kuwa kuwa hiyo serikali nyingine kwa nini inafanya biashara?Eti serikali haifanyanyi biashara?Tena anauza kwa serikali nyingine
Kesha pewa chake huko dubaiHeshima kwa mwizi?Big no.Sikuzaliwa Tanganyika kwa bahati mbaya.
Mfumo wa kibinafsi ndio upi as long as inamilikiwa na Serikali ni Kampuni ya Serikali.Serikali ya Emirates inafanya biashara ktk mfumo wa kibinafsi, na wanajielewa, watz mashirika ya kibiashara yote mmeua na bado mnangangania kuyaendesha ili muendelee kuiba na kutafuna jasho la watz majizi makubwa nyie.
Yaani akistaafu anakwenda kwao Ungunja,alichopewa hadi vilembwe wa vilembwe wake watafaidika.Kesha pewa chake huko dubai
Akili yako umetyuni kukataa mema hata nihubirije siwezi kukuokoa from that slave empire, haya hiyo Tanganyika hata kama inahudumia asilimia moja sa ndio mama anakaribisha investors waje waboreshe tuongee ufanisi.Kwahiyo mizigo ya kongo ni asilimia ngapi inapita hapo ziwani? , haya na bandari za maziwa ya Chato, Kondoa na Kwingineko, zinahudumia watu wa ngapi, na ya Zenji ni watu wangapi?
Serikali yenye maliasili lukuki inashindwa nini kutumia rasilimali zake kutafuta fedha kisha ikazitumia kuendeleza hiyo bandari???,kwani hao UAE walitoa wapi fedha mpaka wakaanzisha hizo kampuni si walitumia rasilimali zao.Ulizeni maswali ya maana nyie maandazi, Zanzibar ni kisiwa kidogo kinachozidiwa na wilaya moja ya misungwi bandari iliyonayo inajitosheleza mahitaji. Bandari za bara ni zinategemewa na nchi takribani 18 ambazo ni locked land so ni lazima zipanuliwe na zisimamiwe na watu wanaojitambua sio majizi yanayowaza matumbo Yao badala ya ufanisi.
Kwanza lipia jina "Daresalaam" jina la KiarabuKwa hiyo ndio auze bandari yetu?
Safari yake kisiasa itamalizika vibaya sana!
Watu wana donge nae ila tu hajijui!
Hey u sio wotee...tengua kaul io😂Uwezo wa wanawake kwakweli ni wa kuutafakari