Rais Samia: Sekta binafsi ndiyo itakayotutoa kiuchumi, Serikali hatufanyi biashara

Serikali ya Tanganyika itapata shilling ngapi kwa mwezi katika kukodisha hiyo bandari
 
Mfumo wa kibinafsi ndio upi as long as inamilikiwa na Serikali ni Kampuni ya Serikali.
Mashirika hayo mengi yalibinafsishwa kwa wawekezaji wa nje na sio ndani-acha kupotosha,na mengi yamekufa.
Nashindwa nikueleweshe vipi, lakini ndio kama unataka mashirika yetu haya ambayo hayajawahi kuwasirisha faida hata mwaka mmoja za ya kila mwaka kuomba ruzuku ili yasife Kwa kweli hapana, mwarabu ingia mzigoni haraka Sana, Kwa sasa msimuelewe tu mama Ila baadae mtamuelewa na mtasema kwanini alichelewa.
 
Maisha yenu ni ya kujaribu sio kupanga na kuweka malengo kwa faida ya wote

Acha mjaribu na hili miaka 100 kama mlivyojaribu Williamson [emoji184]
 
Mama wa ajabu kuwahi kutokea
Mama na sisi Wakazi wa Kigamboni atukumbuke, pale Kivukoni ni shida tupu kuvuka,tunakuomba ututaftie Mwarabu wa kutuvusha kwa uraisi na kwa haraka,Temesa wamefeli tayari!! Asante Mama naomba kuwasilisha!!
 
Hivi unajua atalipa ngapi??
 
Kaka ninachokueleza ni kuwa unapoona kwenye madini tunavyopigwa ndivyo hivyo kwenye maeneo mengine pia.shida ya Nchi za kiafrika sio upatikanaji wa fedha bali ni uongozi hovyo,uzalendo na Elimu.
Nimekupa rejea kuwa yaliyokuwa mashirika ya umma mengi yalibinafsishwa kwa private companies ambazo wamiliki wake walikuwa sio watanzania na mengi yamekufa-katika hilo unadhani shida IPO wapi.
 
Elewa basi kujenga na kuendesha ni vitu viwili tofauti, mfano mdogo ni mwendokasi serikali imejenga miundombinu mizuri na ya kisasa imekabidhi majizi waendeshe huo mradi nazani unachokiona kwenye mwendokasi labda na kwenye hili la bandari unaweza kunielewa.
 
Mama na sisi Wakazi wa Kigamboni atukumbuke, pale Kivukoni ni shida tupu kuvuka,tunakuomba ututaftie Mwarabu wa kutuvusha kwa uraisi na kwa haraka,Temesa wamefeli tayari!! Asante Mama naomba kuwasilisha!!
Muombe mwarabu ajenge bandari ndogo Gezaulole
 
Mtu akikupiga kidole cha matako halafu ukaendelea kumuheshimu basi atampiga na mkeo dole la makalio.., na ukiendelea hivyo na yeye ataendelea tena, hasara ipo , tena kubwa!!!!
Jamaa yupo sawa, Unapigwa dole la matako katika mazingira gani? Hii mifano mingine tuachane nayo tu. Tunaweza kupinga kuuzwa kwa bandari bila kuhusisha matako, makalio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…