Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Hii ndo logic ya hawa watu:Kabisa mkuu!
Sasa hivi kwa mujibu wao mambo yote ni safi! Kila tatizo nchi hii ameondoka nalo Magu na sasa tuko nchi ya maziwa na asali na ccm ni mbele kwa mbele.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Bwana we! Hamna gari ya million 450 hapo! Hicho kigari kikizidi sana ni 100M kamili sababu serikali inaingiza gari Tax freeKwanza, usahihi wa taarifa hii haujulikani.
Lakini kama ni kweli, hela kiasi hicho ingekuwa na matumizi bora zaidi ambayo hata mzee Mwinyi angefurahi kujua kwamba hela hiyo imefanya kazi ya manufaa zaidi kuliko kuimwaga tu hovyo namna ile.
Hawa viongozi mbona siku hizi wanapenda sana kushindana katika kutapanya hovyo mali za waTanzania?
Hela kiasi hicho ingenunua madawati mangapi?
Mimi nnaandika vitu vilivyopo unaleta story za upotevu wa tillion 1.5!!!Acha kupotosha wewe, ile ripoti ya CAG dhidi ya upotevu wa 1.5 trilioni iliweka wazi kila kitu. CCM mnanufaika na nini kutetea uovu?
Issue siyo kupata wala kukosa. Kuna vitu vinakuwa too much aisee.Kinachowatesa wabongo wengi ni roho ya kwanini tu! Sio kingine yani...
Nimewaza sana hivi kwanini watanzania wengi ni vigeu geu namna hii. Nikagundua kumbe kiroho cha kinyongolilo ndio kinawatesa wengi! Hawana furaha flani akipata
Lakini reason behind iko valid! Mzee amechoka kupanda truck kama V8 inataka uwe na stamina! Ila gari la chini anadumbukia tu. Bei ya gari sio halisi mtoa mada ame overstate!Issue siyo kupata wala kukosa. Kuna vitu vinakuwa too much aisee.
Wakati wengine, wanapigwa sound wengine wanatafuna.
Mwinyi hapo alipo ni ni nusu Rais kimaslahi, mwanaye kapewa Urais Zanzibar ( tena kasimikwa kijeshi kwa ubabe, na mwanaye mwingine ni viti maalumu kama alivyo mtoto wa Samia )
Huyo huyo Mwinyi alipewa bonge la jumba na Magu mwaka jana.
Sasa wakati huo huo, vijana mnaambiwa mjiajiri yaani, watumishi wanaambiwa uchumi mdogo na wazee wanaambiwa pesa hakuna.
In short, credibility inashuka kuwa na ndimi mbili.
Anyway, hatujui thamani ya hilo gari wala hatujui kama likikuwepo ikulu au limenunuliwa.
Kwahiyo wewe unaona heri kumpa alienacho na kumnyima asie nacho. Aliekuwa anawapa wanyonge leo anaonekana ni mshamba.Vipi yule mshamba wenu alikuwa akipita barabarani akigawa kodi za wananchi kama pipi huku mkimpongeza?
Mpongezeni na huyu
Wanaye wana uwezo kamili wa kumnunulia.Lakini reason behind iko valid! Mzee amechoka kupanda truck kama V8 inataka uwe na stamina! Ila gari la chini anadumbukia tu. Bei ya gari sio halisi mtoa mada ame overstate!
Mercedes Benz kama hiyo ni milioni 100 tu?Bwana we! Hamna gari ya million 450 hapo! Hicho kigari kikizidi sana ni 100M kamili sababu serikali inaingiza gari Tax free
Hio haijaoneshwa kote ila kimekaa kama C class tu jinsi navyokiona sasa kuna C-Class ya million 450??? C-Class ya mwaka 2021 ni U$D 42,000 and im pretty sure hiyo aliyopewa mzee ni toleo la 2020 kama si 2019.Mercedes Benz kama hiyo ni milioni 100 tu?
Kwa taarifa yako humo ndani yake (1.5 to 2.5 Trilion) ndio kuna hayo matumizi binafsi yenye KICHEFUCHEFU ya Rais, kama hujui kitu funga masaburi tu Mkuu. Usizidi kutukumbusha machungu ya Mwendazake.mimi nnaandika vitu vilivyopo unaleta story za upotevu wa tillion 1.5!!!
huna habari ilipanda ikafika 2.4??
Mkuu gharama ya Hilo Benz Ni kituo cha afya kimoja chenye kila kitu ndani anapewa mtu mmoja kweli ?
issue si gharama, issue ni principle. Yaani mzee rukhsa hajiwezi hivyooo kiasi anataka usafiri unaomfaa, hamudu?Hio haijaoneshwa kote ila kimekaa kama C class tu jinsi navyokiona sasa kuna C-Class ya million 450??? C-Class ya mwaka 2021 ni U$D 42,000 and im pretty sure hiyo aliyopewa mzee ni toleo la 2020 kama si 2019.
Baada ya kuzindua kitabu chake Jioni ya leo Rais Samia amesema anamshukuru Mungu kwa kumpa Mwinyi miaka 96 na sasa anamwombea afike 100
Pia amesema anaona Mzee Mwinyi akipata shida ya kupanda gari alilonalo na ameamua kumpa zawadi ya benzi la chinichini.
USSR
=====
“Nakushukuru sana Mzee wangu Rais Mstaafu Mwinyi kwa kunikaribisha kuzindua kitabu cha simulizi ya maisha yako, nampongeza Mzee Mwinyi kwa kuamua kuandika kitabu ambacho sio tu kitawasaidia Watanzania na Dunia kumfahamu pia kina historia ya Tanzania” Rais Samia
kwenye uzinduzi kwa kitabu cha Mzee Mwinyi Dar es salaam leo
“Hafla ya uzinduzi wa kitabu cha Mzee Mwinyi inaenda sambamba na kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa, tunamtakia kila la kheri wakati anatimiza miaka 96, tunamuomba Mungu akutunze ufike miaka 100 na zaidi ili tuzidi kuvuna hekima na busara zako” Rais Samia
“Nimemuandalia zawadi Mzee Mwinyi, kwa kutimiza umri wa miaka 96 leo, nimekuwa nikiona usumbufu anaoupata akiwa anapanda na kushuka kwenye Gari lake, kwa niaba ya Serikali Mzee wetu leo tutampatia Benz la chini ambalo litampa raha kwenye Safari zake” Rais Samia
View attachment 1777949
View attachment 1777889
Yani swali la kitoto sana ilo yani kupewa boxer kama zawadi kwenye birthday yako inamaana huwezi kununua? Tupunguze munkari kwenye petty issues kama hizi mama katoa anachojisikia kinamfaa mbona mwingine kapeleka Airport na mbuga kabisa kwenye alipotokea!!issue si gharama, issue ni principle. Yaani mzee rukhsa hajiwezi hivyooo kiasi anataka usafiri unaomfaa, hamudu?
Pengine uko right, lakini hii ni Tanzania ambapo 'benzi kutolewa zawadi' ni excess, kama unafahamu!Yani swali la kitoto sana ilo yani kupewa boxer kama zawadi kwenye birthday yako inamaana huwezi kununua? tupunguze munkari kwenye petty issues kama hizi mama katoa anachojisikia kinamfaa mbona mwingine kapeleka Airport na mbuga kabsa kwenye alipotokea!!
Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app