joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Hivi lile agizo ra Rais lilikuwa private au public?Hizi ndo taratibu za huko CAS ukiwa unafuta kesi. Sawa.
Hapa ndipo point ya article niliyo kutumia ya intervention inapo ingia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi lile agizo ra Rais lilikuwa private au public?Hizi ndo taratibu za huko CAS ukiwa unafuta kesi. Sawa.
Bwana mdogo inama nikutKama ninavyompiga mamako?
Haya yanahusiana vipi na taratibu za kufuta kesi CAS?Hivi lile agizo ra Rais lilikuwa private au public?
Hapa ndipo point ya article niliyo kutumia ya intervention inapo ingia.
we unaumwa siyo bure. Nenda hospitalini katibiwe we ngedere, yule wa kwako ameshakufa we zuzu kamfuate aliko.Hawajali chochote kuhusu nchi its is all about power, hapo mbinu ni kuwateka washabiki wote wa Yanga ili wampiganie na kumtetea, anajaribu kila awezalo abakie, kama mnakumbuka alipoingia na kuona mambo magumu alikuja na machief akataka kuleta mambo waliotumia Wakoloni akitaka kufufua uchief ili wampiganie kikabila ikabumu sasa kaingia kwenye mpira mwisho wa siku its all about power na haina uhusiano wowote na football wakishindwa kila kitu watahamia kwenye Uislamu ni swala la muda tu, na huo ndio utakuwa mwisho wa Tanzania, wanaingiza hii nchi shimoni kwa uroho wa madaraka, …
Hivi point yangu umeielewa kweli?Haya yanahusiana vipi na taratibu za kufuta kesi CAS?
Swali linahusu taratibu za kufuta kesi CAS iwapo mmeamua kutatua nje ya CAS. inawezekana haiwezekani?Hivi point yangu umeielewa kweli?
Hivi hizo nchi zilizo fungiwa ,FIFA walijuaje kama kuna third part imeingilia maamuzi?
Na ndio maana nikakuuliza je agizo la Raisi lilitolewa private au public?
Kama ni public maana hata FIFA wanajua.
Kufuta unaweza ukafuta je FIFA hawato itreat kama this issue imekuwa influenced na third part na FIFA kama ikipiga ban mana hushiriki michuano yoyote.
Kuwezekana inawezekana ila je FIFA wata litafsiri vip, maana maamuzi yame hafikiwa baada ya kauli ya Rais. Je huoni hapo ni under influenced of third part?Swali linahusu taratibu za kufuta kesi CAS iwapo mmeamua kutatua nje ya CAS. inawezekana haiwezekani?
Baasi. Fei na Yanga wakae Fei aachane na Kesi, Yanga waseme maslahi yao walipwe waachane na Fei. Win-Win. Hii ndo nia ya Raisi wa JMT. Tatizo lipo wapi iwapo hili litatokea?Kuwezekana inawezekana.
Baasi. Fei na Yanga wakae Fei aachane na Kesi, Yanga waseme maslahi yao walipwe waachane na Fei. Win-Win. Hii ndo nia ya Raisi wa JMT. Tatizo lipo wapi iwapo hili litatokea?
Usiongelee ya nyuma. Huko nyuma kuna mengi na ndiyo yalileta migogoro ikafika mpaka ikulu raisi akajua. Kama Fei akisema sitaki basi atajua mwenyewe ila wasuluhishi akiwemo raisi wameshafanya sehemu yao.Tatizo kamati ya kina Fei haitaki kuja kwenye meza ya mazungumzo maana room hiyo Yanga walisha itoa, ngoja tuone wao kama watahesimu kauli ya Rais.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Imeishaaaa hiyooooooo.Mkuu wa Nchi akishasema kilichobaki ni utekelezaji tu.
This case is closed! Boma Ye! Boma Liwanza.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mlizikataa 112M kwann?? Mtake msitakee Fei anaondokaa kilainiiii.Kwani waliokataa kukaa mezani kuzungumza hili swala ni nani? Ktk option zilizotolewa na Yanga ni kukaa mezani kuzungumza ili kila mmoja apate maslahi yake.
Hizo zilitolewa chini ya utaratibu gani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mlizikataa 112M kwann?? Mtake msitakee Fei anaondokaa kilainiiii.
Mtajuta kupenda vya bureeee, woiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenzako wote wa Yanga wameshakubali hadi sasa Fei yuko huruu, wee bakii kubwataa hivyo usubiri press ya Yanga kuhusu Fei kuwa huru, ndo utakapo furahishwa zaidi.Hizo zilitolewa chini ya utaratibu gani?
We nae kama hujielewi, so Fei alikuwa halipwi?
Sasa mimi na fikiria kwa kutumia kichwa changu na si cha wenzangu,sababu hata mimi wapo wenzangu wenye msimamo kama wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenzako wote wa Yanga wameshakubali hadi sasa Fei yuko huruu, wee bakii kubwataa hivyo usubiri press ya Yanga kuhusu Fei kuwa huru, ndo utakapo furahishwa zaidi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri mrejeshooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mimi na fikiria kwa kutumia kichwa changu na si cha wenzangu,sababu hata mimi wapo wenzangu wenye msimamo kama wangu.
Kwani vp hayo mazungumzo yasha fanyika.
Ngj uongozi utoe majibu umeamuaje kuhusu feisali ,ikulu tulienda kupongezwa na mweshimiwa na kula dinner[emoji16]Sasa mlienda ikulu kufanyaa nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au pale ni TFF makao makuu??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tayari huko, yuko huru.Ngj uongozi utoe majibu umeamuaje kuhusu feisali ,ikulu tulienda kupongezwa na mweshimiwa na kula dinner[emoji16]