Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

Kwa hiyo ww Hersi kakwambia amekubali? Mnapenda kujifariji wakina Mwakarobo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulizanaaa, subiri Press ya kufurahishwaaaa. Uwiiiiiiih
 
Hawezi kuwa free agent. Ukweli ni kwamba Yanga wakiwa smart enough huyu dogo ataharibu amtibue hadi bi mkubwa. Kumbuka Yanga ipo kabla ya Samia na otaendelea kuwepo baada yake. Hata yeye analijua. Kosa dogo kuhusu Yanga anawatibua nusu ya raia wake. Usidhani yeye halijui hilo
Utakuwa hujui uzito wa "ombi" la Rais wa JMT.Rais anasubiri majibu na Hersi anaelewa nini maana ya ombi la Rais.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mbona unajishtukia kama unaoga nje sasa hasira zimekujaje.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh wee.
Watu washapewa order huko, na wapeleke mrejesho haraka iwezekanavyoo.

Woiiiiiiiiih
 
Utakuwa hujui uzito wa "ombi" la Rais wa JMT.Rais anasubiri majibu na Hersi anaelewa nini maana ya ombi la Rais.
Dear, rais sio ombi, ile ni Amri, ila kafanya ustaarabu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yamenasa kindezi kweli[emoji848]yalikuwa yanachekelea kama mazuzu,hayakujua kuna payback
Mama kaharibu ladha ya pilau, huko waliko wana sonya na kununa, plus kujilaumu why walikubali mualikooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mama kaharibu ladha ya pilau, huko waliko wana sonya na kununa, plus kujilaumu why walikubali mualikooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani makolo kombe lenu mwaka huu ni Feisal 😂😂😂. Na Kwa taarifa yenu engineer Hersi halegezi kitu 💪💪
 
Ubwabwa wa ikulu una kanguvu fulani hivi kama maji ya upako. Mnashiba mkitoka hapo mnapata nguvu mnafanya kikao cha namna ya kuvunja mkataba uliokuwa hauvunjiki hata CAS.
[emoji3][emoji3][emoji3] na baada siku chache mnapeleka mrejesho kwa Mama wa jinsi mlivyotekeleza ombi lake.
 
Tufanye assumption wewe ndio Hersi, na umeshashiba pilau la Ikulu, Kataa ombi la raisi kwa kujaza sehemu iliyo wazi.

RAISI WA JMT: Naomba suala la Fei mlimalize.

Hersi:______________________
Infact siyo ombi;kwa watumishi wa serikali wanaelewa,like ni agizo toka kwa mhe.Rais ,sema kalainisha lugha🏌️🏌️
 
Tufanye assumption wewe ndio Hersi, na umeshashiba pilau la Ikulu, Kataa ombi la raisi kwa kujaza sehemu iliyo wazi.

RAISI WA JMT: Naomba suala la Fei mlimalize.

Hersi:______________________
Makolo na Feisal 😂😂. Engineer Hersi shikilia hapohapo 💪💪
 
Yaani makolo kombe lenu mwaka huu ni Feisal 😂😂😂. Na Kwa taarifa yenu engineer Hersi halegezi kitu 💪💪
Injinia gani wa mchongo yule🤣🤣suala la feitoto limeisha,mna kimuhemuhe na feisal,hadi inatia shaka🤔🤔
 
Gharama za Algeria na kurudi = 150,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 10,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 10,000,000
+
Goli la Fainali kwa Mkapa = 20,000,000

Jumla = 190,000,000

Gharama za kumuachia Feisal Salum = 190,000,000

P.S. Feisal ataambiwa hata ile pesa aliyotakiwa kurudisha ili avunje mkataba amesamehewa abaki nayo.
 
Yaani makolo kombe lenu mwaka huu ni Feisal [emoji23][emoji23][emoji23]. Na Kwa taarifa yenu engineer Hersi halegezi kitu [emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utasemaa yotee leo, mama kajua kupiga kwenye mshonooooo. Woiiiiiiih
 
[emoji3][emoji3][emoji3] na baada siku chache mnapeleka mrejesho kwa Mama wa jinsi mlivyotekeleza ombi lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna patamuuuuu hapooooo.
Watu weuweeeee.
 
Gharama za Algeria na kurudi = 150,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 10,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 10,000,000

Jumla = 170,000,000

Gharama za kumuachia Feisal Salum = 170,000,000

P.S. Feisal ataambiwa hata ile pesa aliyotakiwa kurudisha ili avunje mkataba amesamehewa abaki nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaah
 
Back
Top Bottom