Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣🤣Yamenasa kindezi kweli🤔yalikuwa yanachekelea kama mazuzu,hayakujua kuna paybackWanafikiri yale mamilioni ya kila goli yalikuwa yanatoka bure??
Na ndege ilitoka bure??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Yamenasa kindezi kweli🤔yalikuwa yanachekelea kama mazuzu,hayakujua kuna paybackWanafikiri yale mamilioni ya kila goli yalikuwa yanatoka bure??
Na ndege ilitoka bure??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tulizanaaa, subiri Press ya kufurahishwaaaa. UwiiiiiiihKwa hiyo ww Hersi kakwambia amekubali? Mnapenda kujifariji wakina Mwakarobo.
Utakuwa hujui uzito wa "ombi" la Rais wa JMT.Rais anasubiri majibu na Hersi anaelewa nini maana ya ombi la Rais.Hawezi kuwa free agent. Ukweli ni kwamba Yanga wakiwa smart enough huyu dogo ataharibu amtibue hadi bi mkubwa. Kumbuka Yanga ipo kabla ya Samia na otaendelea kuwepo baada yake. Hata yeye analijua. Kosa dogo kuhusu Yanga anawatibua nusu ya raia wake. Usidhani yeye halijui hilo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeeeeh wee.Mbona unajishtukia kama unaoga nje sasa hasira zimekujaje.
Dear, rais sio ombi, ile ni Amri, ila kafanya ustaarabu tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Utakuwa hujui uzito wa "ombi" la Rais wa JMT.Rais anasubiri majibu na Hersi anaelewa nini maana ya ombi la Rais.
Mama kaharibu ladha ya pilau, huko waliko wana sonya na kununa, plus kujilaumu why walikubali mualikooo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yamenasa kindezi kweli[emoji848]yalikuwa yanachekelea kama mazuzu,hayakujua kuna payback
Tufanye assumption wewe ndio Hersi, na umeshashiba pilau la Ikulu, Kataa ombi la raisi kwa kujaza sehemu iliyo wazi.Kwa hiyo ww Hersi kakwambia amekubali? Mnapenda kujifariji wakina Mwakarobo.
Kwan uliambiwa ufuatilie au kiherehere chako mkuuMambo ya ajabu kabisa
Wao kila siku shuguli shuguli haziishi
Ova
Yaani makolo kombe lenu mwaka huu ni Feisal 😂😂😂. Na Kwa taarifa yenu engineer Hersi halegezi kitu 💪💪Mama kaharibu ladha ya pilau, huko waliko wana sonya na kununa, plus kujilaumu why walikubali mualikooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3] na baada siku chache mnapeleka mrejesho kwa Mama wa jinsi mlivyotekeleza ombi lake.Ubwabwa wa ikulu una kanguvu fulani hivi kama maji ya upako. Mnashiba mkitoka hapo mnapata nguvu mnafanya kikao cha namna ya kuvunja mkataba uliokuwa hauvunjiki hata CAS.
Infact siyo ombi;kwa watumishi wa serikali wanaelewa,like ni agizo toka kwa mhe.Rais ,sema kalainisha lugha🏌️🏌️Tufanye assumption wewe ndio Hersi, na umeshashiba pilau la Ikulu, Kataa ombi la raisi kwa kujaza sehemu iliyo wazi.
RAISI WA JMT: Naomba suala la Fei mlimalize.
Hersi:______________________
Mpira mchezo wa kikatili sana.[emoji3][emoji3][emoji3] na baada siku chache mnapeleka mrejesho kwa Mama wa jinsi mlivyotekeleza ombi lake.
Makolo na Feisal 😂😂. Engineer Hersi shikilia hapohapo 💪💪Tufanye assumption wewe ndio Hersi, na umeshashiba pilau la Ikulu, Kataa ombi la raisi kwa kujaza sehemu iliyo wazi.
RAISI WA JMT: Naomba suala la Fei mlimalize.
Hersi:______________________
Jamaa kauliza kwani Hersi kakubali? Ndo imebidi nimuombe mfano wa namna atakavyokataa.Infact siyo ombi;kwa watumishi wa serikali wanaelewa,like ni agizo toka kwa mhe.Rais ,sema kalainisha lugha🏌️🏌️
Injinia gani wa mchongo yule🤣🤣suala la feitoto limeisha,mna kimuhemuhe na feisal,hadi inatia shaka🤔🤔Yaani makolo kombe lenu mwaka huu ni Feisal 😂😂😂. Na Kwa taarifa yenu engineer Hersi halegezi kitu 💪💪
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utasemaa yotee leo, mama kajua kupiga kwenye mshonooooo. WoiiiiiiihYaani makolo kombe lenu mwaka huu ni Feisal [emoji23][emoji23][emoji23]. Na Kwa taarifa yenu engineer Hersi halegezi kitu [emoji123][emoji123]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna patamuuuuu hapooooo.[emoji3][emoji3][emoji3] na baada siku chache mnapeleka mrejesho kwa Mama wa jinsi mlivyotekeleza ombi lake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaaaahGharama za Algeria na kurudi = 150,000,000
+
Ndege hadi Mbeya 10,000,000
+
Ubwabwa wa Ikulu = 10,000,000
Jumla = 170,000,000
Gharama za kumuachia Feisal Salum = 170,000,000
P.S. Feisal ataambiwa hata ile pesa aliyotakiwa kurudisha ili avunje mkataba amesamehewa abaki nayo.
Kimuhemuhe kama Cha makolo na OKRAH 😂😂😂Injinia gani wa mchongo yule🤣🤣suala la feitoto limeisha,mna kimuhemuhe na feisal,hadi inatia shaka🤔🤔