Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

Ukweli ni kwamba Tundu lissu anamtisha sana Rais anampa hofu isiyo kifani,ndio tafasili ya yule Simba aliekuwa na ghadhabu.tulikuwa tunahangaika kujiuliza kwa Nini mama alitaka Simba yule aitwe jina la lissu sasa yeye mwenyewe katupatia majibu.
Lissu hajatulia kichwa mpaka akili ndio maana ya kufananishwa ni Simba yule Mapepe.Lissu hana uwezo wa kuliongoza kundi la aina yoyote ile la watu wanaojitambua vizuri.
 
Yani Mh kila mtu nchi hii anamuona kama mwanae.

Kazaliwa 1960, Lissu 1968, ni mwanae kivipi?
[emoji1787]Mnavyo muita mama mnategemea nini, Kuna waliomzidi umri tundu nao wanamuita mama pia.
 
Huna akili kabisa. Nani kakwambia kuwa nipo humu jukwaani kushindana na watu kuleta habari?
 
Samia 100 ana 64 na Lissu ana 56 labda kama mama yake mdogo
 

”Raisi” Rais
 
Cjui lini utaacha uchawa
 
ni dalili mbaya sana 😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…