Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

Ukweli ni kwamba Tundu lissu anamtisha sana Rais anampa hofu isiyo kifani,ndio tafasili ya yule Simba aliekuwa na ghadhabu.tulikuwa tunahangaika kujiuliza kwa Nini mama alitaka Simba yule aitwe jina la lissu sasa yeye mwenyewe katupatia majibu.
Lissu hajatulia kichwa mpaka akili ndio maana ya kufananishwa ni Simba yule Mapepe.Lissu hana uwezo wa kuliongoza kundi la aina yoyote ile la watu wanaojitambua vizuri.
 
Yani Mh kila mtu nchi hii anamuona kama mwanae.

Kazaliwa 1960, Lissu 1968, ni mwanae kivipi?
[emoji1787]Mnavyo muita mama mnategemea nini, Kuna waliomzidi umri tundu nao wanamuita mama pia.
 
Mods unganisheni huu uzi, habari moja iandikwe mara 10. Chawa Lucas Mwashambwa leo umechelewa, wenzio wamekuwahi, washatolesha watu machozi.
Huna akili kabisa. Nani kakwambia kuwa nipo humu jukwaani kushindana na watu kuleta habari?
 
Samia 100 ana 64 na Lissu ana 56 labda kama mama yake mdogo
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.

Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute .

Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani.

Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono.

Hii ni kutokana na tabia yake mbaya ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu.lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga.

Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi .

Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia.

Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Mheshimiwa Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa.

Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.View attachment 3079010

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

”Raisi” Rais
 
Cjui lini utaacha uchawa
 
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili. Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute . Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani. Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono. Hii ni kutokana na tabia yake mbaya ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu.lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga. Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi . Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia. Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Mheshimiwa Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa. Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.View attachment 3079010 Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.

Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute .

Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani.

Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono.

Hii ni kutokana na tabia yake mbaya ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu.lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga.

Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi .

Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia.

Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Mheshimiwa Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa.

Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.View attachment 3079010

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
ni dalili mbaya sana 😭
 
Back
Top Bottom