Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

Ndugu zangu Watanzania,

kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Samia hapo Mwakani. Kamwe lissu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.
Duh...!.
Kuna wengi mwakani mtashangaa sana na msiamini macho yenu kwa kitakacho tokea kutokana na sababu HII, hivyo Lissu anaweza kugombea 2025, na kama hatutafanya yale mambo yetu yale, Lissu anaweza kabisa kuchaguliwa kuwa rais wa JMT na usiamini!. Ila mtu kuchaguliwa ni jambo moja na mtu kutangazwa ni jambo jingine, hivyo akichaguliwa na asitangazwe, karma ipo itashughulikia hilo kama ilivyoshughulikia lile!
P
 
Ikimpendeza yule chui aitwe Mwashambwa maana hakupewa jina
 
Katika wapiga debe wote niliowahi kuwaona JF, mleta mada unabeba kombe la ubingwa.

Hatukupati, hata kwa mbali.
 
Arsis njoo utupe maana yake hii.

Simba wenzako hao au siasa tu?
 
Aah Tundu naogopa kusema jina lake, moderator mmoja mpenzi wake alinitisha pm. Huyo lussu hana lolote kisiasa.
Angekuwa hana lolote usingeandika jina lake. Katika watz 62 m umemtaja yeye kumbe ana lolote. Mbona haujamwandika jirani yako nyumba ya pili
 
Angekuwa hana lolote usingeandika jina lake. Katika watz 62 m umemtaja yeye kumbe ana lolote. Mbona haujamwandika jirani yako nyumba ya pili
Hulijuwi, hilo nililoliandika silo.

Nimeandika juu hapo nimetishwa na moderator kulitumia hilo jina JF, nini usichokielewa hapo?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga!
 
  1. Mbona hatta yeye huwa hatulii ziara ni kama hivi 👇
  2. Teua tengua
  3. Apisha apisha Dodoma, Dar, Zbr
 
Duh...!.
Kuna wengi mwakani mtashangaa na msiamini macho yenu kutokana na sababu HII, hivyo Lissu anaweza kugombea 2025, na kama hatutafanya mambo yetu yale, Lissu anaweza kuchaguliwa kuwa rais wa JMT na usiamini!.
P
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.

Hakuna mwenye akili Timamu na anayejitambua anayeweza kupoteza muda wake kumpigia lissu kura ya ndio. Lissu angekuwa anakubalika basi hata michango ya gari lake ingekuwa imekamilika ndani ya wiki ya kwanza alipoomba kuchangiwa. Lakini mpaka sasa ameshindwa kufikisha kiwango kinachohitajika.

Kama hata watu laki tano tu wangemchangia buku buku tu maana yake mpaka sasa angekuwa na millioni mia tano.

500,000x1000=500,000,000/=
 
Wishful thinking.
 
Wishful thinking.
Hayo maandishi ya Paschal ni ndoto za mchana ambazo mtu anaweza akaota akiwa ameshiba ugali na kulala kwenye kiti. Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika sanduku la kura hapo mwakani.

Huyo Lissu hawezi kupewa kura ya ndio na mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema.hivi kweli Lissu ni wakuwaziwa kwenye nafasi ya Urais? Embu acheni utani wenu hapa .mtu kama lissu hata angekuwa ndani ya CCM hawezi kamwe na katu kufikiriwa kupewa nafasi ya kugombea wala hata kulijadili jina lake haiwezekani zaidi ya kulikata tu kama kitambaa .
 
Kwa siasa za nchi hii Lissu ni Simba dume haswa, Samia hajakosea.
 
Nipo hapa nabubujikwa na machozi hajawai kutokea tangia nchi iumbwe mitano kwa mama Samia 😊

Lucas anafanya KUTOA hamasa kubwa kwa mama mamlaka zimuone kijana mwenzetu Lucas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…