Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣🤣na watu wa kyerwa mmeongea eeh,sisi mbeya tushamtanguliza mwakabusi na nshala🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba inamruhusu kufanya kosa lolote muda wowote na hatashitakiwa wala kuhojiwa na chombo chochote.Huo udhaifu wa kikatiba uliopo ambao anaweza kuutumia kunyima wananchi uhuru wa kuongea ni upi?
Ni sehemu ipi ya katiba ambapo huo udhaifu upo?
Udhaifu pekee uliopo ni wa sisi wananchi kuwa ni waoga katika kulinda na kutetea haki zetu.
Kama yaliyofanyika Mbeya hayana baraka zake, haitapita wiki, utasikia RPC wa Mbeya amehamishiwa makao makuu. Ukiona kimya, ujue Rais amebariki.Mh Rais,
Kitu kikubwa sana ulichoshinda pamoja na changamoto zilizojitokeza ni kuruhusu mjadala juu ya mkataba wa DP World. Huu ni uhuru wa kikatiba lakini tunajua upo udhaifu wa kikatiba ambao ukiamua kuutumia kikamilifu tusingepata uhuru wa kiwango hiki.
Kwahili lazima tukusifu kukubali mawe yanayorushwa kila kona kwako ingawa baadhi ya wasaidizi wako ni kama wamefikia ukomo wa uvumilivu na badala kukazana na hoja sasa wameamua kutumia njia zisizo salama.
Lakini mkuu wetu kwanini vitisho kwa wanaohoji juu ya mkataba wa Dp world?
Kwanini kukamatwa kwa akina Mdude Nyangali?
Kuacha mjadala kushika hatamu na kuamua hatma ya taifa ni kitu cha pekee umefanya na usiruhusu machawa kuvuruga jambo hili jema sana kwako.
Hii ni sauti ya kiungwana kutoka Kaisho, Kyerwa! Asante sana Mh Rais!
Weka hapa hiyo sehemu ya katiba inayomruhusu kufanya hivyo.Katiba inamruhusu kufanya kosa lolote muda wowote na hatashitakiwa wala kuhojiwa na chombo chochote.
Asiruhusu lolote limtokee Mdude! Tuna imani nae mkuu wetu.Kama yaliyofanyika Mbeya hayana baraka zake, haitapita wiki, utasikia RPC wa Mbeya amehamishiwa makao makuu. Ukiona kimya, ujue Rais amebariki.
Tuna imani nae, tunaomba Mdude na wenzake wawe huru.
Hana kosa lolote lakini huu mwanya unaweza kutumika vibaya dhidi yake.Tujue kwanza kisa cha kukamatwa maada mdude historia yake tunaijua
Kama ndio vile basi tuache
Hana kosa lolote lakini huu mwanya unaweza kutumika vibaya dhidi yake.
Tujue kwanza kisa cha kukamatwa maada mdude historia yake tunaijua
Kama ndio vile basi tuache
Hastahili pongezi zozote kwa kuacha kuibaka katiba!Samia ni kweli kabisa anastahili pongezi lakini anatakiwa kuwapiga STOP mapolisi waache harassment dhidi ya critics wake.
Kwa nini kakamatwa na si wewe, mimi au ndugu zetu wengine? Tujue chanzo cha kukamatwa then tuanze kujadili. #Yote kwa yote nakupongeza kutambua uvumilivu mkubwa wa Mhe. Rais na Amiri Jeshi Mkuu dhidi ya wakosoaji. Basi tuutumie uhuru vizuri.🙏🙏🙏Amekamatwa na tunaomba aachiwe haraka!
Sema, jambazi baadaye likuvamia na kuiba na kuua ndio utajua jambazi ni mtu mbaya.Hastahili pongezi zozote kwa kuacha kuibaka katiba!
Kumpa pongezi Samia ni sawa na kumpongeza jambazi ambaye hajakupora mali yako!
Jambazi hastahili pongezi yoyote ile kwa kuacha kuwa jambazi.
Ni akili gani hizo mlizonazo nyinyi????
Sasa lijitu libaya likiacha kufanya ubaya wake ndo linastahilli pongezi?Sema, jambazi baadaye likuvamia na kuiba na kuua ndio utajua jambazi ni mtu mbaya.
Serikali kazi yake ni kutetea maslahi ya nchi Ila sasa hivi genge, kundi dogo la familia zao na washkaji zao wanatetea maslahi yao. Rushwa. Wamepewa 10% walipo kuwa Dubai.Sasa lijitu libaya likiacha kufanya ubaya wake ndo linastahilli pongezi?
Kazi imeishaLeo awe makini tu na kauli zake, ulimi uliponza kichwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023
RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi wateule Ikulu Jijini Dar es es Salaam, leo Julai 14, 2023 ambapo amesisitiza kuhusu kutumia fursa za kupata maendeleo pindi zinapopatikana.
RAIS SAMIA: KILA MABADILIKO YANA UGUMU WAKE
Rais wa Samia Suluhu Hassan anasema “Mkiwa na nia safi na ya kujenga Nchi msiogope kuja na mawazo ya kubadilisha mwekeleo wa Nchi, kila mabadiliko yana ugumu wake, hakuna mabadiliko marahisi.”
Ameongeza “Watu wakizoea kushoto ukiwaambia geuka kulia watalalamika, msiogope kuna na madiliko ya uelekeo wa Nchi yetu.”