Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

”Nimefuatilia na kutafakari hoja za wabunge wa CCM dhidi ya Ripoti ya CAG kuhusu ubadhirifu uliokithiri Serikalini. Nimesikiliza hoja za kujaribu kutetea ‘legacy’ ya Rais wa Tano wa Tanzania. Naona kuna URATIBU wa jambo HATARI linaloweza kuwa linapangwa kutokea. Mungu apishe mbali”. - Zitto Kabwe.
Mkuu wacha nikwambie jambo moja ambalo hilo kundi linajidanganya.

Huyu rais tuliye naye ni rais kamili wa JMT kiaheria na kama kuna mtu anajidanganya kuwa bado hatuna rais basi huyo atakuwa ameleweshwa na miluzi ya watu.
 
Pm muongo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu! Anadanganya mpaka kwenye nyumba za ibada, Bungeni, nk.
All politicians are liars, big time! They told us he was alive kumbe ameisha kufa siku nyingi. Alitokaje Muhimbili Kwenda kwa mzena. Ilikuwa wanasuka mamma ya kugawana vyeo. Nashangaa JPM even survived 5 years. Hakuwa mwenzao maana he respected Mali za taifa. Nchi itaoza sasa. Lini maiti ikaaawa inapelekwa hapa kesho pale, maiti inabidi iheshimiwa siyo shoo, they wanted to show us how dead he was, walitaka tujoin in the celebrations.
 
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.

Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.

Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.

Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.

Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa.
Isiwe tabu; mwambie Samia abadirishe balaza lote la mawaziri, abadirishe na bunge, abadirishe na mahakama, na kwa kweli abadirishe na watumishi wote wa umma, na pia abadirishe na wananchi wote wa Tz na ardhi yao na kisha ashuke na vision yake na watu wake na nchi yake isiyokuwa na upako wa Magu😡!
Maana hao wote walikuwa wwnafuata maelekezo yaliyokuwa yanatoka kwenye serikali ya jiwe!
We shall always ❤️ and miss you our hero 💔 the hon Dr. JPM 🙏👊😭! Mungu tunaomba umpumzishe mpendwa wetu na shujaa wetu Mh Dr JPM mahala pema peponi penye raha ya milele na amani ya milele🙏🙏🙏
 
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.

Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.

Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.

Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.

Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa.
Mpumbavu kwenye ubora wako.

Mnalazimisha serikali iongozwe kupitia upuuzi wenu mitandaoni.

Serikali ni ya CCM, kubadili ama kutobadili Baraza la Mawaziri hakutabadili matakwa ya Ilani ya CCM.

Tulia, kunywa maji meza fundo fanya kazi
 
Vision gani unayoongelea wew?...mimi nijuavyo kuna national dvnt plan na ilani ya chama ambavyo ndio mwongozo ambao rais yeyote aingiapo madarakani anatakiwa aufuate
Kila mtu ana vision yake hata Samia ana yake kama wewe huna vision ni wewe.
 
Mpumbavu kwenye ubora wako.

Mnalazimisha serikali iongozwe kupitia upuuzi wenu mitandaoni.

Serikali ni ya CCM, kubadili ama kutobadili Baraza la Mawaziri hakutabadili matakwa ya Ilani ya CCM.

Tulia, kunywa maji meza fundo fanya kazi
Kama huna hoja sepa.
 
Majungu, Umbea na Fitina ndio Jadi yetu na hayo ndiyo yalituchelewesha kufikia Uchumi wa kati.

Sasa endapo tutarudi kwenye Ubora wetu wa kupika Majungu na Fitina huenda tukapiga hatua ndefu kurudi nyuma, ili wapika majungu na fitina washangilie kwa vicheko.

Sio kila mtanzania anaitakia mema Tanzania.
Baadhi ya wafanya biashara haswa wakwepa kodi, na wapiga dili kubwa.
 
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.

Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.

Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.

Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.

Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa.
Absolutelly !!! There is a need for house cleaning.
 
Nchi hii walimu walikua wawili watatu tu nao ni hayati Nyerere, Kambona na Seif. Mungu awalaze mahali pema peponi..
 
Watanzania watu wa ajabu sana njozi za Rais wewe zinakuhusu nini? Mngemuuliza basi mwenzake kwanini aliifuta tume ya mipango? Ile ndio ilikuwa national think tank. Hata dira ya taifa 2025 ilitengenezwa pale. Hivyo tangu hapo kila rais atafanya anavyojua yeye. Hamkuuliza wakati huo nauliza sasa. Mama ogelea unavyojua wewe nchi yenyewe ya mazwazwa.
 
Nafasi ambayo mama alitakiwa atumie nguvu zake ni kwenye kummpendekeza VP tu

Huko kwingine ingekua mimi ni Rais,ningeendeleza team ile ile niliyoikuta ningebadilisha

tu watu kama ingetokea nimeona kuna mapungufu flani sehemu,ila watu wanachotaka ni kuona

Baraza jipya la mawaziri,Ofisi zibadilishane waingie wanaowataka wao,nk ila nasema hivi mazaa endelea

Na boli mchezaji atatoka nnje ya uwanja akiwa majeruhi tu ila SUB zisizo na lazima haznaga guarantee ya kuipa team ushindi.
 
bora ufisadi wa awamu ya tano lakin mambo yalionekana
kwenu Moshi treni ilisismama kwa miaka 30,ndani ya miaka mitatu Magufuli karudisha treni,sasa hivi mnaenda kula x-mas kwa 13,000
Mnyonge mnyongeni,haki yake mpeni chuki zenu haziwezi kufuta legacy ya Magufuli kwa sababu inaonekana kwa macho
Unatokea mkoa wa Chato nini?
Subiri kwanza ukaguzi maalum wa CAG.
Gharama za ujenzi za hiyo miradi zatisha, hata za hiyo Chato International Airport ambayo iliyojengwa na kampuni yake bila ya kuidhinishwa na Bunge.
 
Kimsingi kama ni kukwama tayari Magufuli alishakwamisha nchi, hao walioko sasa hawajui wafanyeje ili kuinasua nchi. Hapo ndio kila mtu anaongea lake ili ajaribu kunasua tulipokwama. Lakini nina uhakika kama mama hatambadili PM na waziri wa fedha, ataangoza kwa mitazamo ya kimagufuli ambapo atakwama zaidi.
Kwani Rais Samia si anatokana na Baraza la Hayati Magufuli na walitengeneza na kuinadi Ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 sasa mnataka vision gani tena chochote kinachofanyika kiko kwenye blueprint msimfitinishe Rais na chama chake na wananchi kwa maana ya muendelezo wa miradi na falsafa waliyoipigania yeye na marehemu.
 
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.

Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.

Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.

Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.

Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.
Najua kabisa wewe una akili nyingi sana na unajaribu kuleta siasa za kilaghai kwani unajua Majaliwa anafuata mle mle yale aliyokuwa amepanga kuyafanya Hayati DKT MAGUFULI.Mwisho namshauri Mama yetu kipenzi cha Watanzania wanyonge hawa aendelee kufanya kazi na walewale kwani wamefanya kazi kubwa mpaka kufikia mahali tilipo.
 
Back
Top Bottom